• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua za Watumishi |
    • Malalamiko |
Kigoma Ujiji Municipal Council
Kigoma Ujiji Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa Kigoma Ujiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Rasilimali Watu
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango,Takwimu na Usimamizi
      • Fedha na Biashara
      • Maji
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Uvuvi na Ufugaji
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazingira
      • Afya
    • Vitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Sekta ya Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha Ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati Za Kudumu Za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango miji na Mazingira
      • Ukimwi
      • Kamati Ya Maadili
      • Uchumi Afya na Elimu
    • Ratiba
      • Kamati Za Madiwani
      • Ratiba Kuonana Na Meya
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyo Kamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba
    • Picha za Kuona
      • Mh.Meya
    • Tukio
    • Habari

KATIBU TAWALA MKOA WA KIGOMA ATEMBELEA VIKUNDI VYA WAJASILIAMALI WALEMAVU MANISPAA YA KIGOMA/UJIJI, Regional Secretary

Posted on: November 23rd, 2020

Na mwandishi wetu

Katibu Tawala wa Mkoa wa Kigoma Rashidi Mchatta siku ya Ijumaa Novemba 20, alifanya ziara kwa kutembelea vikundi viwili (2) vya wajasiliamali  walemavu  Manispaa ya Kigoma/Ujiji kukagua shughuli wanazozifanya katika uzalishaji Mali

Kiongozi huyo alifanya ziara hiyo ikiwa ni mwendelezo wa ziara aliyoifanya katika Halmashauri zote za Mkoa wa Kigoma akikagua utekelezaji wa shughuli za shirika la Help Age namna inavyosaidia na kuinua uchumi wa watu wenye ulemavu katika Mkoa huo  

Kiongozi huyo alitembelea kikundi cha Nyota Njema kinachojishughulisha na utengenezaji wa sabuni  katika eneo la  Sido na kutembelea kikundi cha Umoja wa watu wenye Ulemavu Burega wanaojishughulisha na uzalishaji wa chakula cha kuku kwa kutumia magamba ya konono  

Akiwa katika ziara hiyo Katibu Tawala huyo aliipongeza Ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Kigoma/Ujiji kwa kuviwezesha vikundi hivyo vya Wajasiliamali walemavu  kwa kila kikundi kukopeshwa mkopo wa Masharti nafuu na kila kikundi kupata kiasi cha Millioni Tano (5,000,000/=) kutokana na asilimia kumi ya mapato ya Halmashauri ya kuviwezesha vikundi vya  Wanawake,  Vijana na Watu wenye Ulemavu

Aidha kiongozi huyo aliipongeza shirika la Help Age kwa namna inavyosaidia kuinua vikundi hivyo huku akiwataka  wataalamu wa Maendeleo ya Jamii kuvitembelea vikundi hivyo mara kwa mara ili kujua maendeleo yao na  kutoa semina za shughuli wanazozifanya ikiwa ni pamoja na kutatua changamoto zilizopo katika vikundi hivyo  

Mhasibu wa kikundi cha Nyota Njema na Mlemavu wa Miguu Bi. Akizimana Emmanuel  alishukuru Òfisi ya Mkurugenzi kwa Mchango wa kupatiwa Mkopo wa masharti nafuu huku akisema wamekuwa wakinufaika katika Shughuli hizo wanazozifanya kwa kuhudumia familia zao kutokana na kipato wakipatacho

Naye Mwenyekiti Msaidizi wa Kikundi Cha Umoja watu wenye Ulemavu Burega  Ndugu Buhungu alimpongeza kiongozi  huyo kwa kuwatembelea huku akiwataka wale wote wenye ulemavu kufanya kazi Mbalimbali za kiuchumi na kuachana na dhana ya Mlemavu kuwa omba omba

Kwakipindi cha robo ya kwanza na ya pili(Julai-Novemba, 2020) Manispaa ya Kigoma/Ujiji imeviwezesha vikundi vya wajasiliamali  Wanawake, Vijana na watu wenye ulemavu mikopo isiyo kuwa na riba Kiasi cha Fedha Million thelathini na nne ( Tsh 34, 000,000/=) kutokana na asilimia kumi inayotengwa kwa ajili ya kuwezesha makundi hayo 


Picha zaidi ingia maktaba ya picha

Matangazo

  • Ufatiliaji wa Kina Kusaka wasiokata Leseni za Biashara 2017 March 20, 2017
  • Fedha za Mradi wa P4R mwezi Machi 2017 April 13, 2017
  • Fedha za Mradi wa Barabara Machi 2017 April 13, 2017
  • Fedha zilizopokelewa Matumizi ya kawaida Idara ya Afya 2017 April 13, 2017
  • Angalia Yote

Habari Mpya

  • MEYA WA MANISPAA KIGOMA/UJIJI MHE. BARAKA LUPOLI ATATUA CHANGAMOTO YA MACHINGA, AFANYA ZIARA KWA WAATHIRIKA WA MAJI YA MVUA, Mayor

    January 21, 2021
  • MADIWANI KIGOMA/UJIJI WAANZA MAFUNZO YA UONGOZI, WATAKIWA KUWA NA NIDHAMU YA KUSIMAMIA FEDHA ZA SERIKALI. Training for councilor

    January 14, 2021
  • Wadau wa Usafi na Mazingira wakutana Manispaa ya Kigoma/Ujiji, strategic of environment safety

    December 29, 2020
  • DIWANI KATA YA KIGOMA ACHAGULIWA KUWA MEYA MANISPAA YA KIGOMA/UJIJI, MADIWANI WATEULE WALA KIAPO. Oath

    December 08, 2020
  • Angalia Yote

Picha za Kuona

Mkaguzi mkazi Msaidizi Mkoa wa Kigoma akizungumzia Hoja za Ukaguzi Manispaa Kigoma Ujiji
Picha za Kuona Zaidi

Kurasa za Haraka

  • Ofisi ya Rais Utumishi
  • Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tume ya Ajira

Kurasa Husishi

  • Wizara ya Elimu
  • Wizara ya Afya
  • TCU
  • Mikopo Vyuo Vya Elimu Ya Juu
  • Ofisi ya RAS Kigoma
  • Jiji Mwanza

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    Manispaa ya Kigoma Ujiji

    Sanduku la Posta: S.L.P 44

    Simu: +255 28 2802535

    Namba ya Simu: +255765660847

    Barua pepe: municipal@kigomaujijimc.go.tz ictsecurity@kigomaujijimc.go.tz

Mawasiliano Mbalimbali

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera ya Usiri
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani
    • Huduma

Hakimiliki@2017 Manispaa ya Kigoma Ujiji. Haki Zote Zimehifadhiwa