Friday 13th, December 2024
@Kahabwa
Mkuu wa wilaya Ndugu. Samsoni Anga anapenda kuwatangazia na kuwakaribisha wakazi wote wa manispaa ya Kigoma/Ujiji mapokezi ya Mwenge katika uwanja wa Kahabwa tar 18.04.2019 saa mbili kamili asubuhi na kuzungukia miradi mbalimbali katika manispaa hiyo. wote mnakaribishwa
Manispaa ya Kigoma Ujiji
Sanduku la Posta: S.L.P 44
Simu: +255 28 2802535
Namba ya Simu: +255765660847
Barua pepe: municipal@kigomaujijimc.go.tz ictsecurity@kigomaujijimc.go.tz
Hakimiliki@2017 Manispaa ya Kigoma Ujiji. Haki Zote Zimehifadhiwa