• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua za Watumishi |
    • Malalamiko |
Kigoma Ujiji Municipal Council
Kigoma Ujiji Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa Kigoma Ujiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Rasilimali Watu
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango,Takwimu na Usimamizi
      • Fedha na Biashara
      • Maji
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Uvuvi na Ufugaji
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazingira
      • Afya
    • Vitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Sekta ya Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha Ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati Za Kudumu Za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango miji na Mazingira
      • Ukimwi
      • Kamati Ya Maadili
      • Uchumi Afya na Elimu
    • Ratiba
      • Kamati Za Madiwani
      • Ratiba Kuonana Na Meya
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyo Kamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba
    • Picha za Kuona
      • Mh.Meya
    • Tukio
    • Habari

ALAT KIGOMA YAKOSHWA NA UJENZI WA MIRADI KWA MAPATO YA NDANI KIGOMA/UJIJI . Local Authorithy

Posted on: May 20th, 2023

Na Mwandishi Wetu

Wajumbe wa Kamati ya  Jumuiya ya Tawala za Mitaa (ALAT) Mkoa wa Kigoma wameipongeza Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma/Ujiji kwa namna inavyotekeleza miradi ya Maendeleo kwa kutumia mapato ya Ndani


Pongezi hizo zilitolewa Jana May 19, 2023 na Wajumbe wa Kamati hiyo wakiongozwa na Mwenyekiti wa ALAT Mkoa wa Kigoma Mhe. Jackson Mateso (Mwenyekiti Halmashauri ya Uvinza)  wakati walipotembelea ofisi ya Kata ya Katubuka iliyokamilika


Ofisi ya Kata ya Katubuka imejengwa  kwa mapato ya ndani kwa gharama ya kiasi cha Millioni sitini na nne (Tsh 64,000,000/=)  ikiwemo ghaƕama ya Ujenzi jengo pamoja na thamani za ofisi


 Aidha wajumbe hao walitembelea Ujenzi wa Hospitali ya Manispaa ya Kigoma/Ujiji  inayoendelea kata ya Kagera ambapo tayari Serikali imeleta fedha za awali kiasi cha fedha Million mia tano (Tsh 500,000,000/=) na hadi sasa ikiwa katika hatua ya Ujenzi wa boma  


Mradi mwingine waliotembelea ni pamoja na Ujenzi wa Vyumba vya Madarasa saba (07) uliokamilika  Shule ya Sekondari Buhanda kwa gharama ya Tsh 140,000,000/= fedha kutoka Serikali kuu


Awali Mkurugenzi wa Manispaa ya Kigoma/Ujiji Ndugu. Athuman Msabila akitoa  taarifa alisema Manispaa ya Kigoma/Ujiji inaendelea kutekeleza Ujenzi wa Ofisi za Kata tano (05) kwa kutumia mapato ya Ndani, Ujenzi wa Zahanati ya Machinjioni pamoja na Uzalishaji wa Miche ya Michikichi ya Kisasa na kuigawa kwa wakulima bure    


Matangazo

  • NYARAKA ZA WAKUU WA SHULE WALIMU WAKUU October 10, 2022
  • Ufatiliaji wa Kina Kusaka wasiokata Leseni za Biashara 2017 March 20, 2017
  • Fedha za Mradi wa P4R mwezi Machi 2017 April 13, 2017
  • Fedha za Mradi wa Barabara Machi 2017 April 13, 2017
  • Angalia Yote

Habari Mpya

  • NYUMBA YA WALIMU SHULE YA SEKONDARI MJIMWEMA IPO HATUA YA UMALIZIAJI. Building

    May 08, 2025
  • MAANDALIZI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU YAENDELEA UJIJI, DC AKAGUA MIRADI. National touch

    May 07, 2025
  • SERIKALI YAENDELEA KUTOA MSAADA WA KIBINADAMU WAATHIRIKA WA MVUA KIGOMA UJIJI. Flood

    May 05, 2025
  • NMB YAKABIDHI VIFAA TIBA KIGOMA UJIJI. Health

    May 03, 2025
  • Angalia Yote

Picha za Kuona

MWENGE WA UHURU 2023
Picha za Kuona Zaidi

Kurasa za Haraka

  • Ofisi ya Rais Utumishi
  • Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tume ya Ajira

Kurasa Husishi

  • Wizara ya Elimu
  • Wizara ya Afya
  • TCU
  • Mikopo Vyuo Vya Elimu Ya Juu
  • Ofisi ya RAS Kigoma
  • Jiji Mwanza

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    Manispaa ya Kigoma Ujiji

    Sanduku la Posta: S.L.P 44

    Simu: +255 28 2802535

    Namba ya Simu: +255765660847

    Barua pepe: municipal@kigomaujijimc.go.tz ictsecurity@kigomaujijimc.go.tz

Mawasiliano Mbalimbali

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera ya Usiri
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani
    • Huduma

Hakimiliki@2017 Manispaa ya Kigoma Ujiji. Haki Zote Zimehifadhiwa