• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua za Watumishi |
    • Malalamiko |
Kigoma Ujiji Municipal Council
Kigoma Ujiji Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa Kigoma Ujiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Rasilimali Watu
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango,Takwimu na Usimamizi
      • Fedha na Biashara
      • Maji
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Uvuvi na Ufugaji
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazingira
      • Afya
    • Vitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Sekta ya Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha Ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati Za Kudumu Za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango miji na Mazingira
      • Ukimwi
      • Kamati Ya Maadili
      • Uchumi Afya na Elimu
    • Ratiba
      • Kamati Za Madiwani
      • Ratiba Kuonana Na Meya
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyo Kamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba
    • Picha za Kuona
      • Mh.Meya
    • Tukio
    • Habari

CCM YARIDHISHWA NA UTEKELEZAJI WA ILANI MANISPAA YA KIGOMA UJIJI political party

Posted on: July 17th, 2024

Na Mwandishi Wetu

Kamati ya siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kigoma imetoa pongezi kwa namna utekelezaji wa ilani wa Chama hicho  unavyofanyika kupitia miradi ya maendeleo na utoaji wa huduma kwa Wananchi Manispaa ya Kigoma /Ujiji .  


Pongezi hizo zimetolewa na Mwenyekiti wa Chama hicho Wilaya ya Kigoma Ndugu. Ahmed Mwilima  mara baada ya kamati ya siasa kukamilisha ziara ya kutembelea miradi ya maendeleo Leo July 17, 2024.


Kamati hiyo imefanya ziara ya Kukagua Ujenzi wa daraja la Mto Luiche linalojengwa kupitia mradi wa TACTICS,  Ukaguzi wa Ujenzi wa Bweni la  Shule ya Sekondari Kasingirima kwa maandalizi ya mapokezi ya  Wanafunzi wa kidato cha tano,  Ujenzi wa barabara ya Mnazi mmoja yenye urefu wa Mita 500 kwa kiwango cha Zege kwa gharama ya ya fedha za Kitanzania Million Mia Sita thelathini na tisa (Tsh 639, 000, 000/=).



Miradi mingine iliyotembelewa ni pamoja na kituo cha afya cha Buhanda kinachoendelea kutoa huduma kilichojengwa kwa  gharama ya fedha za Kitanzania Million Mia tano hamsini (Tsh 550, 000, 000/=), Ukaguzi wa Bandari ya Kibirizi, Ukarabati wa MV Liemba unaoendelea kwa gharama ya fedha za Kitanzania Billioni thelathini na mbili (Tsh Billion 32/=), Ukarabati wa meli ya mafuta MV Sangara unaoendelea kwa gharama ya  fedha za Kitanzania Billion nane (Tsh Billion 8/=) ukiwa umefikia asilimia tisini na Sita (96%) kukamilika,  ukaguzi wa mradi wa maji Kalalangabo,  na ukaguzi wa mradi wa kuzalisha umeme Kigoma mjini.


Zaidi bofya www.kigomaujijimc.go.tz

Matangazo

  • NYARAKA ZA WAKUU WA SHULE WALIMU WAKUU October 10, 2022
  • Ufatiliaji wa Kina Kusaka wasiokata Leseni za Biashara 2017 March 20, 2017
  • Fedha za Mradi wa P4R mwezi Machi 2017 April 13, 2017
  • Fedha za Mradi wa Barabara Machi 2017 April 13, 2017
  • Angalia Yote

Habari Mpya

  • NYUMBA YA WALIMU SHULE YA SEKONDARI MJIMWEMA IPO HATUA YA UMALIZIAJI. Building

    May 08, 2025
  • MAANDALIZI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU YAENDELEA UJIJI, DC AKAGUA MIRADI. National touch

    May 07, 2025
  • SERIKALI YAENDELEA KUTOA MSAADA WA KIBINADAMU WAATHIRIKA WA MVUA KIGOMA UJIJI. Flood

    May 05, 2025
  • NMB YAKABIDHI VIFAA TIBA KIGOMA UJIJI. Health

    May 03, 2025
  • Angalia Yote

Picha za Kuona

MWENGE WA UHURU 2023
Picha za Kuona Zaidi

Kurasa za Haraka

  • Ofisi ya Rais Utumishi
  • Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tume ya Ajira

Kurasa Husishi

  • Wizara ya Elimu
  • Wizara ya Afya
  • TCU
  • Mikopo Vyuo Vya Elimu Ya Juu
  • Ofisi ya RAS Kigoma
  • Jiji Mwanza

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    Manispaa ya Kigoma Ujiji

    Sanduku la Posta: S.L.P 44

    Simu: +255 28 2802535

    Namba ya Simu: +255765660847

    Barua pepe: municipal@kigomaujijimc.go.tz ictsecurity@kigomaujijimc.go.tz

Mawasiliano Mbalimbali

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera ya Usiri
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani
    • Huduma

Hakimiliki@2017 Manispaa ya Kigoma Ujiji. Haki Zote Zimehifadhiwa