• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua za Watumishi |
    • Malalamiko |
Kigoma Ujiji Municipal Council
Kigoma Ujiji Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa Kigoma Ujiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Rasilimali Watu
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango,Takwimu na Usimamizi
      • Fedha na Biashara
      • Maji
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Uvuvi na Ufugaji
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazingira
      • Afya
    • Vitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Sekta ya Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha Ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati Za Kudumu Za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango miji na Mazingira
      • Ukimwi
      • Kamati Ya Maadili
      • Uchumi Afya na Elimu
    • Ratiba
      • Kamati Za Madiwani
      • Ratiba Kuonana Na Meya
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyo Kamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba
    • Picha za Kuona
      • Mh.Meya
    • Tukio
    • Habari

DC KIGOMA ANDELEA KUSISITIZA CHAKULA SHULENI, ATOA RATIBA YAKE YA KUSHIRIKI MAZOEZI NA WANANCHI. Body exercise

Posted on: November 3rd, 2023

Na Mwandishi Wetu

Mkuu wa Wilaya ya Kigoma Ndugu. Salum Hamis Kali amewataka Watendaji Kata na Mitaa kuendelea kuhamasisha Wazazi, Walezi na Wadau mbalimbali kutoa chakula  shuleni.

Aliyasema hayo Jana Novemba 02, 2023 alipokuwa akifungua kikao cha tathimini ya utekelezaji wa viashiria vya Mkataba wa lishe baina ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Kigoma /ujiji na Watendaji Kata kilichofanyika  katika Ukumbi wa Manispaa hiyo.


Aliwataka Watendaji Kata kufanya Vikao na Mikutano ya Wazazi, Walezi na Wadau mbalimbali kuweka mikakati ya kufanikisha upatikanaji wa Chakula wakati wa masomo kwa lengo la kupandisha viwango vya ufaulu.


Mkuu huyo wa Wilaya alisisitiza Suala la Mazoezi kwa wakazi wa Manispaa hiyo huku akitoa ratiba yake ya Mazoezi ya Kushiriki na Wananchi ikiwa ni Kila Siku ya Jumatano Saa kumi na nusu (16:30) Jioni Uwanja wa Mwanga Community Centre na kila Siku ya Jumamosi Saa kumi na mbili asubuhi yakianzia eneo la stesheni.


Aidha amewataka Watendaji Kata kuendelea kusimamia viashiria vya Mkataba kwa kuwasimamia wahudumu wa afya ngazi ya Jamii kuwasilisha taarifa kila Mwezi.


Awali akimkaribisha Mkuu wa Wilaya ya Kigoma, Mkurugenzi wa Manispaa ya Kigoma/Ujiji Bi. Mwantum Mgonja alisema lengo la kikao hicho ni kujadiri na  Kuboresha masuala ya lishe na kupunguza utapiamlo kwa Wakazi wa Manispaa ya Kigoma/Ujiji.

Matangazo

  • NYARAKA ZA WAKUU WA SHULE WALIMU WAKUU October 10, 2022
  • Ufatiliaji wa Kina Kusaka wasiokata Leseni za Biashara 2017 March 20, 2017
  • Fedha za Mradi wa P4R mwezi Machi 2017 April 13, 2017
  • Fedha za Mradi wa Barabara Machi 2017 April 13, 2017
  • Angalia Yote

Habari Mpya

  • NYUMBA YA WALIMU SHULE YA SEKONDARI MJIMWEMA IPO HATUA YA UMALIZIAJI. Building

    May 08, 2025
  • MAANDALIZI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU YAENDELEA UJIJI, DC AKAGUA MIRADI. National touch

    May 07, 2025
  • SERIKALI YAENDELEA KUTOA MSAADA WA KIBINADAMU WAATHIRIKA WA MVUA KIGOMA UJIJI. Flood

    May 05, 2025
  • NMB YAKABIDHI VIFAA TIBA KIGOMA UJIJI. Health

    May 03, 2025
  • Angalia Yote

Picha za Kuona

MWENGE WA UHURU 2023
Picha za Kuona Zaidi

Kurasa za Haraka

  • Ofisi ya Rais Utumishi
  • Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tume ya Ajira

Kurasa Husishi

  • Wizara ya Elimu
  • Wizara ya Afya
  • TCU
  • Mikopo Vyuo Vya Elimu Ya Juu
  • Ofisi ya RAS Kigoma
  • Jiji Mwanza

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    Manispaa ya Kigoma Ujiji

    Sanduku la Posta: S.L.P 44

    Simu: +255 28 2802535

    Namba ya Simu: +255765660847

    Barua pepe: municipal@kigomaujijimc.go.tz ictsecurity@kigomaujijimc.go.tz

Mawasiliano Mbalimbali

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera ya Usiri
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani
    • Huduma

Hakimiliki@2017 Manispaa ya Kigoma Ujiji. Haki Zote Zimehifadhiwa