Na Mwandishi Wetu
Mkuu wa Wilaya ya Kigoma Ndugu. Salum Hamis Kali amewataka wakazi wa Wilaya hiyo kufanya mazoezi ya viungo vya mwili mara kwa mara
Ameyasema hayo Jana July 13, 2023 wakati akifungua kikao cha Kamati ya Afya ya Msingi (PHC) ya Wilaya kikihusisha Wajumbe wa Manispaa ya Kigoma/Ujiji pamoja na Wajumbe wa Halmashauri ya Wilaya
Aliwataka Wananchi kufanya mazoezi ili kuepuka magonjwa nyemelezi ikiwa ni pamoja na kuzingatia mtindo wa lishe huku akitoa wito kwa Wananchi kushiriki mazoezi ya kila Jumamosi ya Mwisho yanayoratibiwa na ofisi yake
Kikao hicho kilifanyikia ukumbi wa Ofisi za Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma (KDC) kilihudhuriwa na Wajumbe wa Naibu Meya wa Manispaa ya Kigoma/Ujiji Mhe. Bi. Mgeni Kakolwa na Mkurugenzi wa Manispaa ya Kigoma/Ujiji Bi. Mwantum Mgonja
Manispaa ya Kigoma Ujiji
Sanduku la Posta: S.L.P 44
Simu: +255 28 2802535
Namba ya Simu: +255765660847
Barua pepe: municipal@kigomaujijimc.go.tz ictsecurity@kigomaujijimc.go.tz
Hakimiliki@2017 Manispaa ya Kigoma Ujiji. Haki Zote Zimehifadhiwa