• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua za Watumishi |
    • Malalamiko |
Kigoma Ujiji Municipal Council
Kigoma Ujiji Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa Kigoma Ujiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Rasilimali Watu
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango,Takwimu na Usimamizi
      • Fedha na Biashara
      • Maji
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Uvuvi na Ufugaji
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazingira
      • Afya
    • Vitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Sekta ya Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha Ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati Za Kudumu Za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango miji na Mazingira
      • Ukimwi
      • Kamati Ya Maadili
      • Uchumi Afya na Elimu
    • Ratiba
      • Kamati Za Madiwani
      • Ratiba Kuonana Na Meya
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyo Kamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba
    • Picha za Kuona
      • Mh.Meya
    • Tukio
    • Habari

MILLION 300, ZINAVYOBORESHA HUDUMA ZA AFYA KITUO CHA AFYA GUNGU health sector

Posted on: May 31st, 2022

Na Mwandishi Wetu

Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan imeendelea na utekelezaji wa uboreshaji wa huduma na Miundombinu ya afya katika maeneo mbalimbali Nchini Tanzania

Manispaa ya Kigoma/Ujiji ni miongoni mwa Halmashauri inayonufaika na uboreshaji wa miundombinu kwa lengo la kusogeza Huduma za afya Karibu na Wananchi  

Fedha za Kitanzania Shilingi Million mia tatu ( Tsh 300,000,000/=)  zilizopokelewa kutoka Serikali Kuu kwa lengo la ujenzi wa miundombinu katika Kituo cha afya cha Gungu

Miundombinu inayoendelea kujengwa ni jengo la kuwahudumia Wagonjwa wa Nje (OPD), Ujenzi wa Maabara, Ujenzi wa Jengo la kufulia Nguo za Wagonjwa na Ujenzi wa kichomea taka

Kukamilika kwa ujenzi wa miundombinu hiyo kutawanufaisha Wakazi wa Kata ya Gungu  na  Kata jirani kwa kuhakikisha wanapata huduma bora na kuboreshwa kwa mazingira ya   Watumishi katika utendaji kazi

Aidha Ujenzi wa Mradi huo umetoa ajira zaidi  ya sabini (70) katika kazi mbalimbali zinazoendelea kutekelezwa kama vile fundi ujenzi, kuchanganya zege, ubebaji zege na tofali na wajasiriamali wanaopika vyakula jirani na eneo hilo

(Picha ni ziara ya Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Kigoma ikiongozwa na Mkuu wa Wilaya hiyo Bi. Ester Alexander Mahawe May 26, 2022 ilipotembelea Mradi huo)

#mamayupokazini #kaziiendelee #sensa2012 #jiandaekuhesabiwa

Matangazo

  • NYARAKA ZA WAKUU WA SHULE WALIMU WAKUU October 10, 2022
  • Ufatiliaji wa Kina Kusaka wasiokata Leseni za Biashara 2017 March 20, 2017
  • Fedha za Mradi wa P4R mwezi Machi 2017 April 13, 2017
  • Fedha za Mradi wa Barabara Machi 2017 April 13, 2017
  • Angalia Yote

Habari Mpya

  • NYUMBA YA WALIMU SHULE YA SEKONDARI MJIMWEMA IPO HATUA YA UMALIZIAJI. Building

    May 08, 2025
  • MAANDALIZI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU YAENDELEA UJIJI, DC AKAGUA MIRADI. National touch

    May 07, 2025
  • SERIKALI YAENDELEA KUTOA MSAADA WA KIBINADAMU WAATHIRIKA WA MVUA KIGOMA UJIJI. Flood

    May 05, 2025
  • NMB YAKABIDHI VIFAA TIBA KIGOMA UJIJI. Health

    May 03, 2025
  • Angalia Yote

Picha za Kuona

MWENGE WA UHURU 2023
Picha za Kuona Zaidi

Kurasa za Haraka

  • Ofisi ya Rais Utumishi
  • Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tume ya Ajira

Kurasa Husishi

  • Wizara ya Elimu
  • Wizara ya Afya
  • TCU
  • Mikopo Vyuo Vya Elimu Ya Juu
  • Ofisi ya RAS Kigoma
  • Jiji Mwanza

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    Manispaa ya Kigoma Ujiji

    Sanduku la Posta: S.L.P 44

    Simu: +255 28 2802535

    Namba ya Simu: +255765660847

    Barua pepe: municipal@kigomaujijimc.go.tz ictsecurity@kigomaujijimc.go.tz

Mawasiliano Mbalimbali

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera ya Usiri
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani
    • Huduma

Hakimiliki@2017 Manispaa ya Kigoma Ujiji. Haki Zote Zimehifadhiwa