Na Mwandishi Wetu
Mkurugenzi wa Manispaa ya Kigoma/Ujiji Bi. Mwantum Mgonja ameyataka Mashirika yasiyo ya Kiserikali (NGOs) kuendelea kufanya kazi kwa kuzingatia mila na desturi za Kitanzania.
Ameyasema hayo Leo Novemba 09, 2023 katika Mkutano wa robo ya tatu wa kujadili shughuli zinazotekelezwa na Mashirika hayo katika kuwahudumia Wananchi na Wakazi wa Manispaa ya Kigoma/Ujiji.
Mkurugenzi huyo ameyataka Mashirika hayo kufanya kazi kwa uwazi kwa kuwa ofisi zinazotambuliwa na Wananchi ikiwa ni pamoja na kuwasilisha taarifa za utekelezaji kila robo.
Zaidi bofya www.kigomaujijimc.go.tz
Manispaa ya Kigoma Ujiji
Sanduku la Posta: S.L.P 44
Simu: +255 28 2802535
Namba ya Simu: +255765660847
Barua pepe: municipal@kigomaujijimc.go.tz ictsecurity@kigomaujijimc.go.tz
Hakimiliki@2017 Manispaa ya Kigoma Ujiji. Haki Zote Zimehifadhiwa