Na Mwandishi Wetu
Katibu Tawala wa Mkoa wa Kigoma Ndugu. Albert Msovella Jana Septemba 05, 2023 alifanya kikao na Watumishi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma/Ujiji ambapo alisitiza suala la uwajibikaji unaozingatia Kanuni, Taratibu na Sheria za Nchi
Kiongozi huyo alifanya kikao katika Ukumbi wa Manispaa hiyo ambapo aliambatana na Wataalamu wa Sekratrieti ya Mkoa
Mkurugenzi wa Manispaa ya Kigoma/Ujiji Bi. Mwantum Mgonja alimhakikishia kiongozi huyo kuendelea kusimamia Uwajibikaji wa Watumishi sambamba na kusikiliza na kutatua kero za Wananchi
Manispaa ya Kigoma Ujiji
Sanduku la Posta: S.L.P 44
Simu: +255 28 2802535
Namba ya Simu: +255765660847
Barua pepe: municipal@kigomaujijimc.go.tz ictsecurity@kigomaujijimc.go.tz
Hakimiliki@2017 Manispaa ya Kigoma Ujiji. Haki Zote Zimehifadhiwa