• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua za Watumishi |
    • Malalamiko |
Kigoma Ujiji Municipal Council
Kigoma Ujiji Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa Kigoma Ujiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Rasilimali Watu
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango,Takwimu na Usimamizi
      • Fedha na Biashara
      • Maji
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Uvuvi na Ufugaji
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazingira
      • Afya
    • Vitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Sekta ya Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha Ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati Za Kudumu Za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango miji na Mazingira
      • Ukimwi
      • Kamati Ya Maadili
      • Uchumi Afya na Elimu
    • Ratiba
      • Kamati Za Madiwani
      • Ratiba Kuonana Na Meya
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyo Kamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba
    • Picha za Kuona
      • Mh.Meya
    • Tukio
    • Habari

SHEREHE YA MIAKA 46 YA CCM, VIONGOZI WAZINDUA UJENZI WA ZAHANATI KITONGONI Party

Posted on: January 29th, 2023

Na Mwandishi Wetu

Viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoani Kigoma wamezindua  ujenzi wa Zahanati ya Kata ya Kitongoni iliyopo Manispaa ya Kigoma/Ujiji

Uzinduzi huo umefanyika Leo January 29, 2023 wakati wa  kusherehekea  Miaka 46 tangu kuanzishwa kwa Chama hicho  ambapo Kimkoa maadhimisho hayo yamefanyikia katika viwanja vya Shule ya Sekondari Kitongoni iliyopo Manispaa ya Kigoma/Ujiji  

Akizungumza wakati wa uzinduzi huo na akikabidhi Mifuko ya simenti ishirini (20) Katibu wa Chama cha Mapinduzi Mkoani Kigoma Ndugu. Mobutu Malima amesema Chama hicho kimejipambanua kuendelea kusogeza huduma za Kijamii kwa Wananchi

Amesema kuanza kujengwa kwa Zahanati hiyo kutasaidia Wananchi wa Kata ya Kitongoni na Kata jirani kupata huduma ya matabibu karibu na kuepuka gharama za kwenda katika vituo vya afya vingine vilivyopo Kata zingine

Naye Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kigoma Ndugu. Ahmed Mwilima amesema katika kuunga jitihada za Serikali kusogeza huduma za afya karibu na Wananchi amekabidhi mifuko ya simenti kumi (10)  kwa niaba ya uongozi wa chama hicho ngazi ya  Wilaya

Naye Diwani wa Kata ya Kitongoni Mhe. Himid Omari amewashukuru Viongozi wa Chama Cha MapiƱduzi (CCM)  Mkoani Kigoma kwa kufanya maadhisho ya Chama hicho katika Kata hiyo

Amepongeza  viongozi hao kwa kuendesha changizo katika sherehe hizo na kupata zaidi ya mifuko ya simenti 46 huku akisema tayari Ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Kigoma/Ujiji imetoa fedha za awali kiasi cha  Tsh 15, 000, 000/= kutoka Mapato ya ndani ili kuanza ujenzi wa jengo hilo

Jengo hilo linatarajia kukamilika kwa kiasi cha Tsh 130, 000, 000/= ili kuanza kutoa huduma kwa Wananchi 

Matangazo

  • NYARAKA ZA WAKUU WA SHULE WALIMU WAKUU October 10, 2022
  • Ufatiliaji wa Kina Kusaka wasiokata Leseni za Biashara 2017 March 20, 2017
  • Fedha za Mradi wa P4R mwezi Machi 2017 April 13, 2017
  • Fedha za Mradi wa Barabara Machi 2017 April 13, 2017
  • Angalia Yote

Habari Mpya

  • NYUMBA YA WALIMU SHULE YA SEKONDARI MJIMWEMA IPO HATUA YA UMALIZIAJI. Building

    May 08, 2025
  • MAANDALIZI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU YAENDELEA UJIJI, DC AKAGUA MIRADI. National touch

    May 07, 2025
  • SERIKALI YAENDELEA KUTOA MSAADA WA KIBINADAMU WAATHIRIKA WA MVUA KIGOMA UJIJI. Flood

    May 05, 2025
  • NMB YAKABIDHI VIFAA TIBA KIGOMA UJIJI. Health

    May 03, 2025
  • Angalia Yote

Picha za Kuona

MWENGE WA UHURU 2023
Picha za Kuona Zaidi

Kurasa za Haraka

  • Ofisi ya Rais Utumishi
  • Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tume ya Ajira

Kurasa Husishi

  • Wizara ya Elimu
  • Wizara ya Afya
  • TCU
  • Mikopo Vyuo Vya Elimu Ya Juu
  • Ofisi ya RAS Kigoma
  • Jiji Mwanza

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    Manispaa ya Kigoma Ujiji

    Sanduku la Posta: S.L.P 44

    Simu: +255 28 2802535

    Namba ya Simu: +255765660847

    Barua pepe: municipal@kigomaujijimc.go.tz ictsecurity@kigomaujijimc.go.tz

Mawasiliano Mbalimbali

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera ya Usiri
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani
    • Huduma

Hakimiliki@2017 Manispaa ya Kigoma Ujiji. Haki Zote Zimehifadhiwa