Na Mwandishi Wetu
Mkurugenzi wa Manispaa ya Kigoma/Ujiji Ndugu. Kisena Mabuba Jana Februari 12, 2025 amewataka Wananchi wa Manispaa hiyo kushiriki na kuchangia maendeleo katika maeneo yao.
Aliyasema hayo Jana Februari 12, 2025 alipofanya mkutano na Wananchi wa Kata ya Kagera.
Alisema Serikali inaendelea kutekeleza miradi ya maendeleo huku akiwataka Wananchi kuchangia na kuhamasishana kutatua changamoto zilizopo katika maeneo yao kwa maendeleo ya Wananchi.
Zaidi bofya www.kigomaujijimc.go.tz
Manispaa ya Kigoma Ujiji
Sanduku la Posta: S.L.P 44
Simu: +255 28 2802535
Namba ya Simu: +255765660847
Barua pepe: municipal@kigomaujijimc.go.tz ictsecurity@kigomaujijimc.go.tz
Hakimiliki@2017 Manispaa ya Kigoma Ujiji. Haki Zote Zimehifadhiwa