Posted on: July 12th, 2024
Na Mwandishi Wetu
Huu ni mwonekano wa Nyumba ya Mwalimu Shule ya Msingi kipampa iliyopo Manispaa ya Kigoma Ujiji ikiwa imefikia hatua ya ukamilishwaji kupitia fedha za mapato ya ndani.
...
Posted on: July 11th, 2024
Na Mwandishi Wetu
Timu ya Wataalamu kutoka Ofisi ya Rais Tawala ya Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) wamefanya ziara ya kukagua utekelezaji wa miradi ya awamu ya kwanza inayoendelea kutekelezwa...
Posted on: July 10th, 2024
Na Mwandishi Wetu
Shule ya Sekondari kichangachui iliyopo Manispaa ya Kigoma/Ujiji imenufaika na ziara ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Philip Mpango anayoendelea nayo Mkoan...