Posted on: April 29th, 2024
Mkurugenzi wa Manispaa ya Kigoma/Ujiji Bi. Mwantum Mgonja amewataka Watumishi wa Manispaa hiyo kusikiliza, kutatua kero na kuwahudumia Wananchi kikamilifu na kwa wakati.
Ameyasema ...
Posted on: April 24th, 2024
Na Mwandishi Wetu
Walimu wa Shule za Msingi na Sekondari Manispaa ya Kigoma/Ujiji ambao ni wasimamizi wa maadili leo April 24, 2024 wamepata Mafunzo ya kuendesha clabu za maadili ...
Posted on: April 23rd, 2024
Na Mwandishi Wetu
Wilaya ya Kigoma inaendelea na maadhimisho ya Sherehe ya miaka Sitini (60) ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kwa Viongozi na Wananchi kushiriki shughuli mbalimbali za Kijamii....