Posted on: July 18th, 2025
Na Mwandishi Wetu
Ujenzi wa Shule Mpya ya Sekondari Katika Kata ya Kipampa unaendelea kwa fedha za Kitanzania zaidi ya Million mia sita (Tsh 603, 890,563.00/=) ikiwa ni fedha kutoka Serikali Kuu.
...
Posted on: July 17th, 2025
Na Mwandishi Wetu
Wakuu wa Idara na Vitengo Manispaa ya Kigoma/Ujiji wamefanya ziara ya kutembelea miradi ya maendeleo katika Manispaa hiyo ikiwa ni Maandalizi ya Mbio za Mwenge wa Uhuru 2025.
...
Posted on: July 16th, 2025
Na Mwandishi Wetu
Manispaa ya Kigoma/Ujiji imepokea kiasi cha fedha za Kitanzania zaidi ya Billioni mbili na Millioni Mia tano (Tsh 2,504,597,857.00/=) Kutoka Serikali Kuu kupitia Mradi wa BOOST kw...