• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua za Watumishi |
    • Malalamiko |
Kigoma Ujiji Municipal Council
Kigoma Ujiji Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa Kigoma Ujiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Rasilimali Watu
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango,Takwimu na Usimamizi
      • Fedha na Biashara
      • Maji
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Uvuvi na Ufugaji
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazingira
      • Afya
    • Vitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Sekta ya Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha Ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati Za Kudumu Za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango miji na Mazingira
      • Ukimwi
      • Kamati Ya Maadili
      • Uchumi Afya na Elimu
    • Ratiba
      • Kamati Za Madiwani
      • Ratiba Kuonana Na Meya
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyo Kamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba
    • Picha za Kuona
      • Mh.Meya
    • Tukio
    • Habari

Maji

Huduma za maji na usafi wa mazingira katika Manispaa ya Kigoma/Ujiji zinatolewa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Kigoma/Ujiji (KUWASA). Mamlaka hiyo ilianzishwa kwa sheria ya Maji Sura Na. 281 kwa tangazo la Serikali Na. 61 la tarehe 13 Februari, 1998 ambapo tarehe 1 Julai, 1998 ilipandishwa daraja na kuwa daraja la B.

  • 2      Hali ya Huduma ya Maji na Uondoaji wa Maji Taka
    • Manispaa inakadiriwa kuwa na idadi ya watu wapatao takribani 242,584.
    • Wakazi wanaopata huduma ya majisafi ni asilimia 72% ya wakazi wote
    • Mamlaka inategemea chanzo cha maji cha Bangwe, Ziwa Tanganyika
    • Uwezo wa uzalishaji wa maji wa chanzo kwa sasa ni wastani wa lita milioni 12 kwa siku
    • Mahitaji halisi ni lita milioni 21 kwa siku. 
    • Idadi ya wateja waliosajiliwa kwenye mtandao ni 10,322. Wateja wenye dira zilizo nzima ni asilimia 50 ya wateja wote.
    • Huduma inavyotolewa kwa sasa ni kwa mgao kwa wastani wa siku mbili/tatu  kwa wiki  kwa eneo la mgao.
    • Upotevu wa maji(NRW) unakadiriwa kuwa asilimia 28.2 ya maji yote yanayozalishwa.
    • Huduma ya uondoaji wa majitaka imeanza kutolewa kwa kutumia gari la majitaka. Gari la majitaka na bwawa la kupokea majitaka yametokana na mradi wa unaoendelea kujengwa

Matangazo

  • NYARAKA ZA WAKUU WA SHULE WALIMU WAKUU October 10, 2022
  • Ufatiliaji wa Kina Kusaka wasiokata Leseni za Biashara 2017 March 20, 2017
  • Fedha za Mradi wa P4R mwezi Machi 2017 April 13, 2017
  • Fedha za Mradi wa Barabara Machi 2017 April 13, 2017
  • Angalia Yote

Habari Mpya

  • KLINIKI YA ARDHI INAENDELEA KIBIRIZI. Land clinic

    June 20, 2025
  • MATIBABU YA KIBIGWA YANAENDELEA KITUO CHA AFYA UJIJI, FIKA PATA MATIBABU. Health

    June 18, 2025
  • MAADHIMISHO YA UNYWAJI MAZIWA YAFANYIKA KIGOMA UJIJI.

    June 17, 2025
  • SIKU YA MTOTO YA AFRIKA YAADHIMISHWA KIGOMA UJIJI. African Child

    June 16, 2025
  • Angalia Yote

Picha za Kuona

MWENGE WA UHURU 2023
Picha za Kuona Zaidi

Kurasa za Haraka

  • Ofisi ya Rais Utumishi
  • Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tume ya Ajira

Kurasa Husishi

  • Wizara ya Elimu
  • Wizara ya Afya
  • TCU
  • Mikopo Vyuo Vya Elimu Ya Juu
  • Ofisi ya RAS Kigoma
  • Jiji Mwanza

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    Manispaa ya Kigoma Ujiji

    Sanduku la Posta: S.L.P 44

    Simu: +255 28 2802535

    Namba ya Simu: +255765660847

    Barua pepe: municipal@kigomaujijimc.go.tz ictsecurity@kigomaujijimc.go.tz

Mawasiliano Mbalimbali

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera ya Usiri
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani
    • Huduma

Hakimiliki@2017 Manispaa ya Kigoma Ujiji. Haki Zote Zimehifadhiwa