Na Mwandishi Wetu
Mkuu wa Wilaya ya Kigoma Dr. Rashid Chuachua ametambulisha Sare ya Mwenge kwa Wananchi wa Manispaa ya Kigoma/Ujiji katika mbio za Mwenge zinazotarajia kukimbizwa Septemba 21 Mwaka huu.
Ameitambulisha Leo July 25, 2025 alipofanya kikao kilichohusisha Wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama, Wakuu wa Idara na Vitengo, Wakuu wa Taasisi, Watumishi wa Makao makuu Ofisi ya Manispaa, Watendaji wa Kata , Wenyeviti wa Serikali za Mitaa na Viongozi wa Wafanyabishara.
Amewataka Wananchi kushiriki ikiwa ni pamoja na kuvaa Sare Siku hiyo huku akisema kitenge hicho kinapatikana kwa bei nafuu.
Zaidi bofya www.kigomaujijimc.go.tz #Nationatouch #Mwengewauhuru2025 #Mwengewauhuru
Manispaa ya Kigoma Ujiji
Sanduku la Posta: S.L.P 44
Simu: +255 28 2802535
Namba ya Simu: +255765660847
Barua pepe: municipal@kigomaujijimc.go.tz ictsecurity@kigomaujijimc.go.tz
Hakimiliki@2017 Manispaa ya Kigoma Ujiji. Haki Zote Zimehifadhiwa