• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua za Watumishi |
    • Malalamiko |
Kigoma Ujiji Municipal Council
Kigoma Ujiji Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa Kigoma Ujiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Rasilimali Watu
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango,Takwimu na Usimamizi
      • Fedha na Biashara
      • Maji
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Uvuvi na Ufugaji
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazingira
      • Afya
    • Vitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Sekta ya Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha Ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati Za Kudumu Za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango miji na Mazingira
      • Ukimwi
      • Kamati Ya Maadili
      • Uchumi Afya na Elimu
    • Ratiba
      • Kamati Za Madiwani
      • Ratiba Kuonana Na Meya
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyo Kamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba
    • Picha za Kuona
      • Mh.Meya
    • Tukio
    • Habari

"TUMEJIANDAA KWA USHINDI WA VIGEZO VYOTE MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" MD MABUBA. National touch

Posted on: July 24th, 2025

Na Mwandishi Wetu 

Mkurugenzi wa Manispaa ya Kigoma/Ujiji Ndugu. Kisena Mabuba Leo July 24, 2025 amefanya kikao na Watumishi wa  mbalimbali ikiwa ni Maandalizi ya Mapokezi ya Mwenge wa uhuru katika Manispaa hiyo.


Katika kikao hicho Mkurugenzi huyo amewataka Wananchi na Watumishi kujiandaa kushiriki mbio za Mwenge wa uhuru unatarajia kukimbizwa Katika Manispaa hiyo Septemba 21, Mwaka huu.


Mkurugenzi huyo amesema kwa Mwaka huu Manispaa imejiandaa kufanya vizuri zaidi katika Vigezo vyote na kuwa katika nafasi ya juu ya ushidi Kimkoa, kikanda na Kitaifa kuanzia Vigezo vya  Mapokezi, Miradi, na Mkesha kutokana na Hamasa itakayofanyika ikiongozwa na Wananchi.


Aidha amewataka Viongozi kuendelea kutekeleza Majukumu yao na kuwahamasisha Wananchi kushiriki kikamilifu kuanzia Mapokezi, maeneo ya miradi na uvaaji wa Sare.

Matangazo

  • NYARAKA ZA WAKUU WA SHULE WALIMU WAKUU October 10, 2022
  • Ufatiliaji wa Kina Kusaka wasiokata Leseni za Biashara 2017 March 20, 2017
  • Fedha za Mradi wa P4R mwezi Machi 2017 April 13, 2017
  • Fedha za Mradi wa Barabara Machi 2017 April 13, 2017
  • Angalia Yote

Habari Mpya

  • DC KIGOMA ATAMBULISHA SARE YA MWENGE KWA WANANCHI. National Touch

    July 25, 2025
  • "JUMAMOSI YA KILA WIKI NI SIKU YA USAFI MANISPAA" DC KIGOMA. Sanitation

    July 25, 2025
  • "PERPMIS NI TAKWA LA KISHERIA, TUENDELEE KUTEKELEZA " MD MABUBA. Electronic system

    July 24, 2025
  • "TUMEJIANDAA KWA USHINDI WA VIGEZO VYOTE MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" MD MABUBA. National touch

    July 24, 2025
  • Angalia Yote

Picha za Kuona

MWENGE WA UHURU 2023
Picha za Kuona Zaidi

Kurasa za Haraka

  • Ofisi ya Rais Utumishi
  • Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tume ya Ajira
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2025 HAYA HAPA

Kurasa Husishi

  • Wizara ya Elimu
  • Wizara ya Afya
  • TCU
  • Mikopo Vyuo Vya Elimu Ya Juu
  • Ofisi ya RAS Kigoma
  • Jiji Mwanza

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    Manispaa ya Kigoma Ujiji

    Sanduku la Posta: S.L.P 44

    Simu: +255 28 2802535

    Namba ya Simu: +255765660847

    Barua pepe: municipal@kigomaujijimc.go.tz ictsecurity@kigomaujijimc.go.tz

Mawasiliano Mbalimbali

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera ya Usiri
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani
    • Huduma

Hakimiliki@2017 Manispaa ya Kigoma Ujiji. Haki Zote Zimehifadhiwa