Posted on: October 18th, 2024
Na Mwandishi Wetu
Viongozi wa vyama vya siasa Manispaa ya Kigoma/Ujiji kwa pamoja Leo Oktoba 18, 2024 wamefanya mkutano katika Mwalo wa Katonga ili kuhamasisha uandikishaji wa Wapiga Kura Kuelekea ...
Posted on: October 17th, 2024
Na Mwandishi Wetu
Mkataba wa kuanza kwa ujenzi wa Soko la Mwanga na Soko la mazao ya uvuvi Katonga hivi karibuni unatarajiwa kusainiwa ili kuanza kwa ujenzi wa masoko hayo kisasa.
Hayo ...
Posted on: October 17th, 2024
Na Mwandishi Wetu
Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Ndugu. Thobias Adengenye mapema Asubuhi ya Leo Oktoba 17, 2024 amejitokeza na kujiandikisha katika Daftari la orodha ya Wapiga Kura wa Uchaguzi wa Serikali ...