Posted on: July 24th, 2025
Na Mwandishi Wetu
Ujenzi wa Bweni Shule ya Sekondari Buronge unaendelea ukiwa umefikia hatua ya upauaji kwa gharama ya fedha za Kitanzania Millioni Mia Moja thelathini na Sita (Tsh 136,000,000/=) f...
Posted on: July 22nd, 2025
Na Mwandishi Wetu
Mkuu wa Wilaya ya Kigoma Dr. Rashid Chuachua amewataka Wakuu wa Idara na Maafisa Watendaji wa Kata kuendelea kuelimisha suala la lishe ili kuepuka udumavu katika jamii.
...
Posted on: July 18th, 2025
Na Mwandishi Wetu
Ujenzi wa Shule Mpya ya Sekondari Katika Kata ya Kipampa unaendelea kwa fedha za Kitanzania zaidi ya Million mia sita (Tsh 603, 890,563.00/=) ikiwa ni fedha kutoka Serikali Kuu.
...