• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua za Watumishi |
    • Malalamiko |
Kigoma Ujiji Municipal Council
Kigoma Ujiji Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa Kigoma Ujiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Rasilimali Watu
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango,Takwimu na Usimamizi
      • Fedha na Biashara
      • Maji
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Uvuvi na Ufugaji
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazingira
      • Afya
    • Vitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Sekta ya Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha Ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati Za Kudumu Za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango miji na Mazingira
      • Ukimwi
      • Kamati Ya Maadili
      • Uchumi Afya na Elimu
    • Ratiba
      • Kamati Za Madiwani
      • Ratiba Kuonana Na Meya
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyo Kamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba
    • Picha za Kuona
      • Mh.Meya
    • Tukio
    • Habari

HATUA ZA KUFUATA ILI KUKAMILISHA UPIMAJI WA ENEO/KIWANJA

HATUA ZA KUFUATA ILI KUKAMILISHA UPIMAJI WA ENEO/KIWANJA

  • Eneo kabla halijapimwa inabidi liwepo kwenye mchoro wa mipangomiji ulioandaliwa na afisa mipangomiji wa manispaa na pia kusajiliwa na ofisi ya mkurugenzi wa mipangomiji na vijiji wizarani. Aidha kama eneo  halipo kwenye mchoro wa mipangomiji inabidi liandaliwe mchoro huo ili kuweza kupangiwa matumizi sahihi ya eneo hilo na kufaham miundo mbinu (eg. barabara) inayozunguka  eneo husika
  • Baada ya eneo kuwepo kwenye mchoro wa mipangomiji, Mteja ataandika barua ya maombi kwa mkurugenz wa Halmashauri  kuomba kupimiwa eneo lake. Aidha mteja anaweza akatumia kampuni binafsi/mpima binafsi(private surveyor) kwa ajili ya upimaji wa eneo husika
  • Mpima Ardhi ataomba kibali cha upimaji kutoka  kwa mpima wa mkoa na pia kutoka kwa Afsa Ardhi wa halmashauri
  • Baada ya upimaji kukamilika Mpima Ardhi ataandaa File lenye kuonesha vibali vya upimaji kutoka ofisi ya mkuu wa mkoa na Afsa Ardhi wa halmashauri. Pia file hilo litaonesha raman yenye vipimo halisi vya eneo husika pamoja na repoti ya upimaji.
  • Mpima Ardhi atapeleka file hilo katika ofisi ya mpima wa mkoa kwa ajili ya kukaguliwa na baadae kupelekwa kwa mkurugenzi wa upimaji na raman Dar es Salaam kwa ajili ya kuhakikiwa. Aidha baada ya uhakiki wa file, Ramani husika ya eneo hilo husajiliwa kwa kupewa namba ya usajili (registered plan number) na pia wizara inatoa namba za viwanja vilivyopo katika ramani hiyo.
  • Baada ya raman kusajiwa , na  viwanja katika raman hiyo kupewa namba (plot numbers), mpima Ardhi atakabidhiwa nakala ya raman hiyo kwa ajili ya kupeleka mkoani (kwa kumbukumbu) na katika halmashauri ili Afsa Ardhi aweze kuendelea na zoezi la uandaaji wa hati miliki  wa viwanja hivyo  kwa kutumia ramani hiyo yenye kuonesha namba ya usajili, namba za viwanja  na ukubwa wa kila kiwanja. Baada ya maandalizi ya hati kukamilika na kusajiliwa  na kamishna wa Ardhi wa Kanda, mteja hukabidhiwa  hati yake kwa ajili ya matumizi yake binafsi (eg. Kutumia kama dhamana katika kuomba mkopo) na pia mteja anapata faida kubwa  ya kumiliki kiwanja chake kisheria.

FAIDA ZA UPIMAJI

  • Mteja kupata hati miliki na hivyo Kumiliki eneo kisheria na kulipia kodi ya Ardhi kwa maendeleo ya nchi
  • Baada yaupimaji mteja hupata hati na hivyo kutumika kama dhamana katika mikopo
  • Upimaji hupunguza/kuondoa migogoro ya Ardhi  hasa migogoro ya mipaka
  • Uletwaji wa miundombinu mbalimbali  kama barabara, umeme, maji huwa ni rahisi

NB: Hatua hizo za upimaji hufuatwa pia kwa mteja atakaehitaji huduma ya mgawanyo wa kiwanja chake kilichokuwa kimeshapimwa (Subdivision of plot)

Matangazo

  • NYARAKA ZA WAKUU WA SHULE WALIMU WAKUU October 10, 2022
  • Ufatiliaji wa Kina Kusaka wasiokata Leseni za Biashara 2017 March 20, 2017
  • Fedha za Mradi wa P4R mwezi Machi 2017 April 13, 2017
  • Fedha za Mradi wa Barabara Machi 2017 April 13, 2017
  • Angalia Yote

Habari Mpya

  • VYANDARUA VYENYE DAWA KUGAWIWA BURE KWA WANANCHI KIGOMA UJIJI.

    May 13, 2025
  • NYUMBA YA WALIMU SHULE YA SEKONDARI MJIMWEMA IPO HATUA YA UMALIZIAJI. Building

    May 08, 2025
  • MAANDALIZI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU YAENDELEA UJIJI, DC AKAGUA MIRADI. National touch

    May 07, 2025
  • SERIKALI YAENDELEA KUTOA MSAADA WA KIBINADAMU WAATHIRIKA WA MVUA KIGOMA UJIJI. Flood

    May 05, 2025
  • Angalia Yote

Picha za Kuona

MWENGE WA UHURU 2023
Picha za Kuona Zaidi

Kurasa za Haraka

  • Ofisi ya Rais Utumishi
  • Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tume ya Ajira

Kurasa Husishi

  • Wizara ya Elimu
  • Wizara ya Afya
  • TCU
  • Mikopo Vyuo Vya Elimu Ya Juu
  • Ofisi ya RAS Kigoma
  • Jiji Mwanza

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    Manispaa ya Kigoma Ujiji

    Sanduku la Posta: S.L.P 44

    Simu: +255 28 2802535

    Namba ya Simu: +255765660847

    Barua pepe: municipal@kigomaujijimc.go.tz ictsecurity@kigomaujijimc.go.tz

Mawasiliano Mbalimbali

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera ya Usiri
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani
    • Huduma

Hakimiliki@2017 Manispaa ya Kigoma Ujiji. Haki Zote Zimehifadhiwa