• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua za Watumishi |
    • Malalamiko |
Kigoma Ujiji Municipal Council
Kigoma Ujiji Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa Kigoma Ujiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Rasilimali Watu
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango,Takwimu na Usimamizi
      • Fedha na Biashara
      • Maji
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Uvuvi na Ufugaji
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazingira
      • Afya
    • Vitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Sekta ya Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha Ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati Za Kudumu Za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango miji na Mazingira
      • Ukimwi
      • Kamati Ya Maadili
      • Uchumi Afya na Elimu
    • Ratiba
      • Kamati Za Madiwani
      • Ratiba Kuonana Na Meya
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyo Kamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba
    • Picha za Kuona
      • Mh.Meya
    • Tukio
    • Habari

CCM YAPONGEZA USIMAMIZI UJENZI WA SOKO LA MWANGA KIGOMA UJIJI. Market building

Posted on: February 2nd, 2026

Na Mwandishi Wetu

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kigoma Ndugu.  Jamar Tamimu amepongeza Serikali kwa namna inavyotekelezaji  mradi wa ujenzi wa Soko la Mwanga lililopo Manispaa ya Kigoma/Ujiji.


Pongezi hizo amezitoa Leo Februari 02, 2026 alipokagua ujenzi huo akiambatana na Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa wa Kigoma kukagua Utekelezaji wa ilani ya Chama hicho.


Amewapongeza Wataalamu na wajenzi kwa namna wanavyosimamia ubora wa jengo huku akiwataka kukamilisha kwa wakati ili kuanza kuwanufaisha Wafanyabiashara.


Akiwasilisha taarifa Mhandisi wa Ujenzi kutoka Kampuni ya ujenzi ya Asabhi contractor Company Ltd in Jv with Pioneers Builders Limited Eng. Joseph Marando amesema utekelezaji wa Mradi umefikia asilimia sitini na moja (61.63%) huku akisema mwezi April Mwaka huu wanatarajia kukabidhi Mradi.


Aidha Wajumbe wa Kamati ya Siasa CCM Mkoa wametembelea na kukagua ujenzi unaoendelea wa chuo kikuu cha afya na sayansi shirikishi Muhimbili tawi la kigoma (MUHAS).


Zaidi bofya www.kigomaujijimc.go.tzt5


Matangazo

  • NYARAKA ZA WAKUU WA SHULE WALIMU WAKUU October 10, 2022
  • Ufatiliaji wa Kina Kusaka wasiokata Leseni za Biashara 2017 March 20, 2017
  • Fedha za Mradi wa P4R mwezi Machi 2017 April 13, 2017
  • Fedha za Mradi wa Barabara Machi 2017 April 13, 2017
  • Angalia Yote

Habari Mpya

  • CCM YAPONGEZA USIMAMIZI UJENZI WA SOKO LA MWANGA KIGOMA UJIJI. Market building

    February 02, 2026
  • "MADIWANI ACHENI ALAMA KWA WANANCHI" RC SIRRO. Regional Commissioner

    January 30, 2026
  • WALIMU WENYE MAHITAJI MAALUMU WAKABIDHIWA VIFAA SAIDIZI KIGOMA UJIJI. Education

    January 30, 2026
  • CCM YARIDHISHWA NA UTEKELEZAJI WA MIRADI KIGOMA UJIJI. Political

    January 29, 2026
  • Angalia Yote

Picha za Kuona

MWENGE WA UHURU 2023
Picha za Kuona Zaidi

Kurasa za Haraka

  • Ofisi ya Rais Utumishi
  • Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tume ya Ajira
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2025 HAYA HAPA

Kurasa Husishi

  • Wizara ya Elimu
  • Wizara ya Afya
  • TCU
  • Mikopo Vyuo Vya Elimu Ya Juu
  • Ofisi ya RAS Kigoma
  • Jiji Mwanza

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    Manispaa ya Kigoma Ujiji

    Sanduku la Posta: S.L.P 44

    Simu: +255 28 2802535

    Namba ya Simu: +255765660847

    Barua pepe: municipal@kigomaujijimc.go.tz ictsecurity@kigomaujijimc.go.tz

Mawasiliano Mbalimbali

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera ya Usiri
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani
    • Huduma

Hakimiliki@2017 Manispaa ya Kigoma Ujiji. Haki Zote Zimehifadhiwa