• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua za Watumishi |
    • Malalamiko |
Kigoma Ujiji Municipal Council
Kigoma Ujiji Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa Kigoma Ujiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Rasilimali Watu
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango,Takwimu na Usimamizi
      • Fedha na Biashara
      • Maji
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Uvuvi na Ufugaji
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazingira
      • Afya
    • Vitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Sekta ya Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha Ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati Za Kudumu Za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango miji na Mazingira
      • Ukimwi
      • Kamati Ya Maadili
      • Uchumi Afya na Elimu
    • Ratiba
      • Kamati Za Madiwani
      • Ratiba Kuonana Na Meya
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyo Kamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba
    • Picha za Kuona
      • Mh.Meya
    • Tukio
    • Habari

CCM YARIDHISHWA NA UTEKELEZAJI WA MIRADI KIGOMA UJIJI. Political

Posted on: January 29th, 2026

Na Mwandishi Wetu

Kamati ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kigoma imepongeza na kuridhishwa na utekelezaji wa miradi  ya Maendeleo inayoendelea kutekelezwa Manispaa ya Kigoma/Ujiji.


Pongezi hizo amezitoa Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kigoma Ndugu. Sadick Kibwana Kaduro katika ziara ya Kamati ya siasa ya Chama hicho iliyofanyika Leo Januari 29,2026.


Amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeridhishwa na namna miradi ya maendeleo inavyotekelezwa na kusimamia na Wataalamu ili kuwanufaisha Wananchi.


Mkuu wa Wilaya ya Kigoma Dr. Rashid Chuachua amewashukuru Viongozi hao huku akisema Wataalamu wataendelea kusimamia miradi ya Maendeleo kikamilifu ili iweze kuwanufaisha Wananchi.


Miradi iliyokaguliwa na kutembelewa ni Ujenzi wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS), Ujenzi wa Kituo cha afya cha Rusimbi, Ujenzi wa mfereji wa maji ya mvua Katubuka, ukaguzi wa Ujenzi wa Uwanja wa ndege, Ujenzi wa Shule Mpya ya Sekondari Kipampa, na kukagua Ujenzi wa Soko la Kisasa Mwanga.


Zaidi bofya www.kigomaujijimc.go.tz


Matangazo

  • NYARAKA ZA WAKUU WA SHULE WALIMU WAKUU October 10, 2022
  • Ufatiliaji wa Kina Kusaka wasiokata Leseni za Biashara 2017 March 20, 2017
  • Fedha za Mradi wa P4R mwezi Machi 2017 April 13, 2017
  • Fedha za Mradi wa Barabara Machi 2017 April 13, 2017
  • Angalia Yote

Habari Mpya

  • AHADI YA RAIS DR. SAMIA YAANZA KUTEKELEZWA, UJENZI WA SOKO LA KISASA KIBIRIZI WAANZA. Project

    February 19, 2026
  • MEYA UJIJI AONGOZA KAMATI YA FEDHA KUTEMBELEA MIRADI.

    February 18, 2026
  • MRADI WA SHULE BORA WAKUTANISHA WALIMU WA KIINGEREZA KIGOMA UJIJI. Elimu Project

    February 18, 2026
  • BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA BAJETI YA BILLION 44.9 KWA MWAKA 2026/2027. Budget

    February 17, 2026
  • Angalia Yote

Picha za Kuona

MWENGE WA UHURU 2023
Picha za Kuona Zaidi

Kurasa za Haraka

  • Ofisi ya Rais Utumishi
  • Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tume ya Ajira
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2025 HAYA HAPA

Kurasa Husishi

  • Wizara ya Elimu
  • Wizara ya Afya
  • TCU
  • Mikopo Vyuo Vya Elimu Ya Juu
  • Ofisi ya RAS Kigoma
  • Jiji Mwanza

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    Manispaa ya Kigoma Ujiji

    Sanduku la Posta: S.L.P 44

    Simu: +255 28 2802535

    Namba ya Simu: +255765660847

    Barua pepe: municipal@kigomaujijimc.go.tz ictsecurity@kigomaujijimc.go.tz

Mawasiliano Mbalimbali

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera ya Usiri
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani
    • Huduma

Hakimiliki@2017 Manispaa ya Kigoma Ujiji. Haki Zote Zimehifadhiwa