• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua za Watumishi |
    • Malalamiko |
Kigoma Ujiji Municipal Council
Kigoma Ujiji Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa Kigoma Ujiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Rasilimali Watu
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango,Takwimu na Usimamizi
      • Fedha na Biashara
      • Maji
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Uvuvi na Ufugaji
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazingira
      • Afya
    • Vitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Sekta ya Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha Ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati Za Kudumu Za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango miji na Mazingira
      • Ukimwi
      • Kamati Ya Maadili
      • Uchumi Afya na Elimu
    • Ratiba
      • Kamati Za Madiwani
      • Ratiba Kuonana Na Meya
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyo Kamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba
    • Picha za Kuona
      • Mh.Meya
    • Tukio
    • Habari

AHADI YA RAIS DR. SAMIA YAANZA KUTEKELEZWA, UJENZI WA SOKO LA KISASA KIBIRIZI WAANZA. Project

Posted on: February 19th, 2026

Na Mwandishi Wetu

Ujenzi wa Soko la kisasa katika Mwalo wa Kibirizi uliopo Manispaa ya Kigoma/Ujiji umeanza kutekelezwa ukiwa katika hatua ya kujaza udongo na kutoa maji.


Ujenzi huo unatekelezwa ikiwa ni ahadi ya Rais wa Awamu ya Sita Dr. Samia Suluhu Hassan aliyoitoa alipofanya ziara Mkoani Kigoma.


Ujenzi huo unatekelezwa kwa gharama ya fedha za Kitanzania Billion Saba (Tsh 7,000,000,000/=) na Kampuni ya KGG Investment Limited kwa kipindi cha Mwaka mmoja.


Ujenzi wa soko hilo unajengwa kwa kuta za kubwa za kuzuia maji ya ziwa (Gabions) ukilinganisha na Soko lililokuwepo awali lililoathiriwa na maji.


Soko hilo linatarajiwa kuwa na maduka, Ofisi za Soko, Majengo ya Wajasiriamali wa Chakula, Vyoo na Kituo cha Polisi ukienda sambamba na ujenzi wa Barabara kwa kiwango cha lami katika eneo hilo.


Zaidi bofya www.kigomaujijimc.go.tz



Matangazo

  • NYARAKA ZA WAKUU WA SHULE WALIMU WAKUU October 10, 2022
  • Ufatiliaji wa Kina Kusaka wasiokata Leseni za Biashara 2017 March 20, 2017
  • Fedha za Mradi wa P4R mwezi Machi 2017 April 13, 2017
  • Fedha za Mradi wa Barabara Machi 2017 April 13, 2017
  • Angalia Yote

Habari Mpya

  • AHADI YA RAIS DR. SAMIA YAANZA KUTEKELEZWA, UJENZI WA SOKO LA KISASA KIBIRIZI WAANZA. Project

    February 19, 2026
  • MEYA UJIJI AONGOZA KAMATI YA FEDHA KUTEMBELEA MIRADI.

    February 18, 2026
  • MRADI WA SHULE BORA WAKUTANISHA WALIMU WA KIINGEREZA KIGOMA UJIJI. Elimu Project

    February 18, 2026
  • BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA BAJETI YA BILLION 44.9 KWA MWAKA 2026/2027. Budget

    February 17, 2026
  • Angalia Yote

Picha za Kuona

MWENGE WA UHURU 2023
Picha za Kuona Zaidi

Kurasa za Haraka

  • Ofisi ya Rais Utumishi
  • Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tume ya Ajira
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2025 HAYA HAPA

Kurasa Husishi

  • Wizara ya Elimu
  • Wizara ya Afya
  • TCU
  • Mikopo Vyuo Vya Elimu Ya Juu
  • Ofisi ya RAS Kigoma
  • Jiji Mwanza

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    Manispaa ya Kigoma Ujiji

    Sanduku la Posta: S.L.P 44

    Simu: +255 28 2802535

    Namba ya Simu: +255765660847

    Barua pepe: municipal@kigomaujijimc.go.tz ictsecurity@kigomaujijimc.go.tz

Mawasiliano Mbalimbali

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera ya Usiri
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani
    • Huduma

Hakimiliki@2017 Manispaa ya Kigoma Ujiji. Haki Zote Zimehifadhiwa