• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua za Watumishi |
    • Malalamiko |
Kigoma Ujiji Municipal Council
Kigoma Ujiji Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa Kigoma Ujiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Rasilimali Watu
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango,Takwimu na Usimamizi
      • Fedha na Biashara
      • Maji
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Uvuvi na Ufugaji
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazingira
      • Afya
    • Vitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Sekta ya Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha Ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati Za Kudumu Za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango miji na Mazingira
      • Ukimwi
      • Kamati Ya Maadili
      • Uchumi Afya na Elimu
    • Ratiba
      • Kamati Za Madiwani
      • Ratiba Kuonana Na Meya
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyo Kamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba
    • Picha za Kuona
      • Mh.Meya
    • Tukio
    • Habari

Ardhi na Mipango Miji


Idara ya Mipango Miji, Ardhi na Maliasili


Idara imegawanyika katika sehemu tano (5) kutokana na tofauti ya shughuli na wataalam waliopo kama ifuatavyo:-

  • Mipango Miji (Urban Planning)
  • Upimaji na Ramani (Land Survey and Mapping)
  • Uthamini (Land Valuation)
  • Usimamizi wa ardhi (Land Management)
  • Mali asili (Natural Resources)
  • Mipango Miji

Kitengo cha Mipango Miji kinahusika na kusimamia ukuaaji wa mji. Kupangilia na kusimamia matumizi msambazo wa matumizi ya ardhi kwa kuandaa mipango ya jumla (Mpango Kabambe wa miaka 20), mipango ya kina (michoro ya mipango miji), mipango ya urasimishaji makazi yaliyojengwa holela, kuhuisha maeneo ya kati ya mji na maeneo chakavu. Kupokea, kuchambua na kutoa mapendekezo dhidi ya maombi yanayowasilishwa na wananchi/taasisi ya kubadili matumizi ya ardhi, kugawanya viwanja na kubadili masharti ya uendelezaji ardhi.

  • Town Planning section
  • The section engages in management of the growth and physical form of the town. It plays an important responsibility in leading and guiding all functions related to land use and development by preparing general plans (Master plan which guides development fo 20 years), developing detailed plans which includes town planning drawings, land regularization schemes, central area redevelopment plans and preparing urban renewal plans in dilapidated urban centres. Also receive, scrutinize and raise technical comments upon receiving applications from individuals or associations/institutions about land use change, plots subdivision and alteration of development conditions.
  •  
  • Upimaji na Ramani
  • Kitengo hiki kinajihusisha na kupima ardhi (cadastral surveying), kurudishia mipaka ya viwanja, kutatua migogoro ya mipaka ya viwanja na kutunza ramani za upimaji. Pia kinahusika na kuchora ramani za upimaji na kusimamia kitengo cha Tehama cha Idara yaani GIS.
  • Land Survey and Mapping

The section engages in carryout cadastral survey, re installation of lost boundary marks, resolving property boundary conflicts and are custodians of survey plans. Also, is responsible for drawing maps and management of the departmental ICT centre commonly called Geographical Information Centre (GIS).

 

  • Uthamini

Kitengo cha uthamini kinajihusisha na kufanya uthamini wa mali (ardhi, majengo na mazao na maendelezo mengine) kwa ajili ya kuuza, fidia, dhamana, uhamisho wa miliki nk. Pia kinafanya makadirio ya kodi mbalimbali zitokanazo na ardhi na kusimamia ukusanyaji wa kodi hizo.

Land Valution

The section is responsible for conducting valuations of land, buildings, crops and other developments for the purpose of sale, compensations, mortgage, bond or transfer of ownership. Also, plays an essential role in estimating value of taxes that are related to land fees and charges.

  • Usimamizi wa ardhi

Kitengo cha usimamizi wa ardhi kinahusika na kumilikisha viwanja, uandaaji na utoaji wa fomu na nyaraka mbalimbali za ardhi, kuidhinisha baadhi ya nyaraka za ardhi na kuwasilisha kwa Kamishna wa ardhi nyaraka ambazo zinazostahili kuidhinishwa na Kamishna wa ardhi au Masajili wa hati. Pia kitengo kinahusika na ukadiriaji kodi ya ardhi, kutoa ankra za madai ya kodi ya ardhi na kusimamia ukusanyaji wa kodi hiyo. Kitengo kinahusika na utatuzi wa migogoro ya ardhi inayohusu umiliki wa ardhi.

  • Land Management

The section is responsible for registering ownership of land, issuing land forms and various documents related with land ownership, approving land documents and endorsing, scrutinizing and forwarding to the office of the commissioners for lands for those documents requires the commissioner of registrar of titles to approve. Also, it engages in estimation of land rent taxes, issuing bills/demand notices and collecting land rent taxes. The section is responsible for resolving land ownerships conflicts.

  • Maliasili
  • Kitengo cha mali asili kinahusisha Usimamizi wa Misitu, Wanyama pori na Utalii. Kazi zake ni kuratibu na kusimamia upandaji miti, utunzaji wa misitu ya asili na ile ya kupanda iliyopo ndani ya mji, utunzaji na ulinzi wa wanyama pori, kulinda na kukuza vyanzo vya utalii. Kitengo kinapokea maombi na kutoa vibali vya kukata mti/miti pale inapoonekana inafaa. Kutoa taarifa na kuhamasisha utalii wa vivutio vilivyo ndani ya mji.
  • Natural Resources
  • The section engages in urban forest management, wild life and tourism issues. The functions of this section includes; promoting and exercising tree planning campaigns, forest protection both natural and planted forests, management of wild life that are kept within the town and protecting people from wild life damages and promoting and protection of tourist sources. The section receives and issue permits for cutting trees (if is necessary to cut tree or trees).

 

KAZI ZA KILA SIKU KITENGO CHA MIPANGOMIJI.

Kuandaa michoro ya mipangomiji (Neighbourhood plans)

Kuandaa michoro ya mipangomiji kwenye maeneo yaliyojengwa kiholela (Regularization schemes)

Kukagua na kuidhinisha Ramani za majengo (Scrutinization of Archtectural drawings)

Kupokea, kukagua na kutunza kumbukumbu za maombi ya kubadilisha matumizi ya ardhi na kugawa Viwanja (Plot Subdivision and change of use)

Kutoa masharti ya uendelezaji ardhi (Provision of development conditions)

Kutoa elimu na ushauri wa Kitaalam kwa wananchi kuhusu mambo ya mipangomiji (Sensitization through general meetings)






JULY 2018


HATI ZILIZO SAJILIWA NA KUKAMILIKA KWA MSAJILI WA HATI KANDA YA MAGHARIBI TABORA.

NO

PLOT. PARTICULAR

CT.NO

OWNER


PLOT NO. 331 BLOCK ‘B’ MWASENGA
7202
EMMANUEL ABEL NTIKANIGWA

PLOT NO. 1620 BLOCK ‘A’ MASANGA
7203
RAMADHANI BUREKERA NTILULIMWA

PLOT NO. 1629 BLOCK ‘A’ MASANGA
7204
RAMADHANI BUREKERA NTILULIMWA

PLOT NO. 60 BLOCK ‘D’ MLOLE
7208
GEORGE ADREA KAZILAHABI

PLOT NO. 1464 BLOCK ‘A’ MASANGA
7211
BAKARI RAJABU KATHBETI

PLOT NO. 122 BLOCK ‘A’ MASANGA
7212
ASAHA AMRI KINUMA

PLOT NO. 13 BLOCK ‘A’ KILIMAHEWA
7213
ANDERSON MLOLO CHOYISHE

PLOT NO. 604 BLOCK ‘A’ MWASENGA
7215
PHILIMON MKEYA ZEGELI

PLOT NO. 308 BLOCK ‘A’ BUREGA
7216
LIBERATUS PHILIPO LEGERA

PLOT NO. 97 BLOCK ‘A’ BUREGA
7217
CLEOPHACE PETER LUKINDO

PLOT NO. 1477 BLOCK ‘A’ MASANGA
7225
ESTHER FULJENSI SIMBA

PLOT NO. 156 BLOCK ‘C’ MLOLE
7226
REVOCATUS VYANSEKALE NTABAHAGI

PLOT NO. 448 BLOCK ‘A’ MASANGA
7228
JALI HARUNA BAKUNDA

PLOT NO. 499 BLOCK ‘A’ MASANGA
7229
AZIZA KIFU SHABANI

PLOT NO. 1559 BLOCK ‘A’ MASANGA
7230
JANETH ALBERTO TUNU

PLOT NO. 1683 BLOCK ‘A’ MASANGA
7231
HAMISI KASSIM ISSA

PLOT NO. 368 BLOCK ‘A’ VAMIA
7233
ADAM MOSHI FIKIRINI

PLOT NO. 177 BLOCK ‘C’ MWASENGA
7234
AMRI ATHUMANI BUKUNGULA

PLOT NO. 436 & 437 BLOCK ‘A’ BUREGA
7235
EDWARD LEWIS PHILLI

PLOT NO. 267 BLOCK ‘A’ KILIMAHEWA
7236
HUSSENI HARUNA BWICHALO

PLOT NO. 63 BLOCK ‘C’ MWASENGA
7244
VENANCE PETER MBEYA

PLOT NO. 256 BLOCK ‘A’ BUREGA
7245
MOSHI OMARI TANDITSE

PLOT NO. 222 BLOCK ‘A’ MWASENGA
7248
PATRICK EDSON NDANDA

PLOT NO. 76 BLOCK ‘A’ VAMIA
7254
SALUMU JUMA HAMISI

PLOT NO. 123 BLOCK ‘A’ KAHABWA
7257
DEOGRATIUS MICHAEL NKOKORO

PLOT NO. 1423 BLOCK ‘A’ MASANGA
7260
REHEMA KASSIM MADEBALI

PLOT NO. 1735 BLOCK ‘A’ MASANGA
7261
ABDALLAH ALIWASI PALU

PLOT NO. 681 BLOCK ‘A’ KAHABWA
7266
ELIAS MAYANI MALIKIADES

PLOT NO. 1 BLOCK ‘A’ MLOLE
7268
JUMANNE HAMIS KITOWE

PLOT NO. 682 BLOCK ‘A’ KAHABWA
7271
ELIAS MAYANI MALIKIADES

PLOT NO. 281 BLOCK ‘B’ BUSHABANI
7272
ISMAIL HUSSEIN NTAHONDI

PLOT NO. 346 BLOCK ‘C’ MLOLE
7273
MICHAEL LULIKELA IBRAHIM

PLOT NO. 817 BLOCK ‘O’ MAJENGO EXTENSION
7274
WILBERT KIPIPI MKONYA

PLOT NO. 159 BLOCK ‘A’ MWASENGA
7275
AKIZA DAMIANO TOYI

PLOT NO. 742 BLOCK ‘A’ KAHABWA
7282
RICHARD MUGOROZI MUGOROZI

PLO NO. 1671 BLOCK ‘A’ MASANGA
7285
AMOS PASCHAL MKUYU

PLOT NO. 236 BLOCK ‘A’ KAHABWA
7286
RENATUS STANSLAUS KASATO

PLOT NO. 487 BLOCK ‘A’ KILIMAHEWA
7287
JOHARI ITALANGA LUKONDO

PLOT NO.1589 BLOCK ‘A’ MASANGA
7288
ANDREA LAZARO ANDREA

PLOT NO. 322 BLOCK ‘A’ KILIMAHEWA
7290
HUSSEIN HARUNA BWICHALO

PLOT NO. 1755 BLOCK ‘A’ MASANGA
7296
ANDREW GODWIN MPEMA

PLOT NO. 461 BLOCK ‘A’ MASANGA
7299
JOSEPHINE ELIAS NKWATA

PLOT NO. 172 BLOCK ‘D’ MLOLE
7304
PAYNETH MATHEW MGOBE

PLOT NO. 502 BLOCK ‘A’ KAGERA
7307
THE REGISTERED TRUSTEES OF AFRICAN RELIEF ORGANIZATION

PLOT NO. 97 BLOCK ‘A’ KIBIRIZI
7310
AMINA MBOGO KANYA

PLOT NO. 417 BLOCK ‘A’ BUREGA
7311
EVANS SHAKALI NTAGWABIRA

PLOT NO. 1754 BLOCK ‘A’ MASANGA
7312
JEREMIA KIMUNINA KALONKA

PLOT NO. 1628 BLOCK ‘A’ MASANGA
7313
SHANI LUWI LUGETE

PLOT NO. 1753 BLOCK ‘A’ MASANGA
7315
AHADI VALERIANA ILOMO

PLOT NO. 1704 BLOCK ‘A’ MASANGA
7316
MATHEW NTEME YOHANA

PLOT NO. 194 BLOCK ‘P’ UJIJI
7317
SIRI JUMA BARAKA

PLOT NO. 334 BLOCK ‘A’ KAHABWA
7322
KALUHAWE EDWARD LUSAGAZA

PLOT NO. 1563 BLOCK ‘MASANGA
7323
MCHINA JUMA MUHAMED

PLOT NO. 1546 BLOCK ‘A’ MASANGA
7325
SPRIANO BERA RULEMA

PLOT NO. 1752 BLOCK ‘A’ MASANGA
7326
VIOLETH HARRYSON KIMARO

PLOT NO. 295 BLOCK ‘B’ BUSHABANI
7327
MANDE MANGAPI MWAMBILA

PLOT NO. 1700 BLOCK ‘A’ MASANGA
7328
ZAWADI JOHN MLAZI

PLOT NO. 90 BLOCK ‘A’ KILIMAHEWA
7329
FAUSTINE MAGAYANE WALU

PLOT NO. 367 BLOCK ‘A’ MASANGA
7331
YUSTA MPABASI AGARI

PLOT NO. 509 BLOCK ‘A’ KAHABWA
7333
GODLOVE THOMAS DONKOLI

PLOT NO. 179 BLOCK ‘C’ MWASENGA
7334
DENNIS SHEDRACK CAHKUTEMA

PLOT NO. 75 BLOCK ‘A’ BUSHABANI
7335
MATINDE REUBEN MTATIRO

PLOT NO. 345 BLOCK ‘B’ BUSHABANI
7336
PATRICIA DONATUS MLAGWA

PLOT NO. 1517 BLOCK ‘A’ MASANGA
7337
MWAMINI SAID KING’OMBE

PLOT NO. 1673 BLOCK ‘A’ MASANGA
7338
JIRES FULGENCE GWEBEYEA

PLOT NO. 1713 BLOCK ‘A’ MASANGA
7339
JAMES CHARLES WILLIAM

PLOT NO. 1044 BLOCK ‘A’ KAHABWA
7341
ZAKAYO FANUELI MSOMA

PLOT NO. 307 BLOCK ‘A’ KAHABWA
7345
SALVATORI KABULA BAHAGAZE

PLOT NO. 91 BLOCK ‘A’ MLOLE
7346
ILUMVA OBADIA KIGWINYA

PLOT NO. 1756 BLOCK ‘A’ MASANGA
7347
TANO HUSSEIN KABEBO

PLOT NO. 1569 BLOCK ‘A’ MASANGA
7348
TUMAINI LONDO THOMAS

PLOT NO. 23 BLOCK ‘D’ BUREGA
7367
AIFOLA FOOD PRODUCT CO. LIMITED

PLOT NO. 417 BLOCK ‘A’ KAHABWA
7368
CATHELINE NTEBWA NTUYE

PLOT NO. 725 BLOCK ‘A’ KAHABWA
7370
BAKEYEMBA  MAHENE NICOLAUS

 

 

 

 

 

 

 

 


HATI ZILIZO SAJILIWA NA KUKAMILIKA KWA MSAJILI WA HATI KANDA YA MAGHARIBI TABORA.

                                                                                                                                        JUNE 2018

NO

PLOT. PARTICULAR

CT.NO

OWNER


PLOT NO. 1216 BLOCK ‘A’ MASANGA
7024
WILBERT FYULI KALIHAMWE

PLOT NO. 539 BLOCK ‘A’ MASANGA
7058
PEACE TIMOTHY SAMULA

PLOT NO. 379 BLOCK ‘A’ MWASENGA
7059
KABEZA HAMISI KARUBI

PLOT NO. 476 BLOCK ‘A’ KILIMAHEWA
7060
MELIKIADESI NTAMPERA KIBIRIGI

PLOT N. 172 BLOCK ‘A’ MWASENGA
7061
ALFRED PAUL KIHAMBI

PLOT NO. 17 BLOCK ‘A’ KASIMBU
7073
THE OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA

PLOT NO. 8 BLOCK ‘D’ BUREGA
7076
THABITI RAJABU KATUNDA

PLOT NO. 279 BLOCK ‘A’ KILIMAHEWA
7077
YAMUNGU MRISHO KASUNZU

PLOT NO. 101 BLOCK ‘A’ KIBIRIZI
7078
MELECIANA LAZARO RAMBO

PLOT NO. 288 BLOCK ‘A’ BUREGA
7079
ABAS KISHAKALI MOSHI

PLOT NO. 5 BLOCK ‘D’ BUREGA
7080
THABITI RAJABU KATUNDA

PLOT NO. 1435 BLOCK ‘A’ MASNGA
7116
MBARUKU SAIDI KIMNG’OMBE

PLOT NO. 274 BLOCK ‘A’ MWASENGA
7118
SALAMA RAMADHANI HARUNA

PLOT NO. 1561 BLOCK ‘A’ MASANGA
7121
STEWARD MAYAN BURAHENDA

PLOT NO. 507 BLOCK ‘A’ KAHABWA
7123
GODLOVE THOMAS DONKOLI

PLOT NO. 7 BLOCK ‘D’ UJIJI
7137
THABITI RAJABU KATUNDA

PLOT NO. 546 BLOCK ‘A’ MASANGA
7139
STUMAI HAMISI ANZURUNI

PLOT NO. 577 BLOCK ‘A’ MASANGA
7146
REHEME GAUDENSI KINAMA

PLOT NO. 15 BLOCK ‘A’ KILIMAHEWA
7147
ALBERTO LILAMPISE MAHWAGO

PLOT NO. 1740 BLOCK ‘A’ MASANGA
7156
KHAMIS KASSIM ISSA

PLOT NO. 1727 BLOCK ‘A’ MASANGA
7157
JAILOS GERVAS MADELELE

PLOT NO.763 BLOCK ‘A’ KAHABWA
7161
GEORGINA BALTAZAR KAMUNTU

PLOT NO. 289 BLOCK ‘A’ MASANGA
7162
LAZARO JASTIN NDEREKA

PLOT NO. 404 BLOCK ‘A’ BUREGA
7163
CHARLES RWIZA ISHABAKARI

PLOT NO. 273 BLOCK ‘D’ MLOLE
7171
REGINA MKAMBATI KUBABA

PLOT NO. 306 BLOCK ‘N’ MWANGA
7172
FULGENCE MBILIKO NTOTO

PLOT NO. 1545 BLOCK ‘A’ MASANGA
7173
NELSON SPRIANO BERA

PLOT NO. 36 BLOCK ‘A’ KAHABWA
7174
MAKIGA ABDALLAH MAKIGA

PLOT NO. 926 BLOCK ‘O’ MAJENGO
7177
ADAMU BARANKILIZA BOSHA

PLOT NO. 350 BLOCK ‘B’ MWASENGA
7178
PATTERN MANYURANE RULAKIZUYE

PLOT NO. 553 BLOCK ‘A’ MASANGA
7179
FLAVIANA GEGORI MBILIZI

PLOT NO. 692 BLOCK ‘A’ KAHABWA
7180
ALOYCE MALLEY PAUL

PLOT NO. 302 BLOCK ‘A’ MWASENGA
7181
YOHANA CHARLES KALAHEZE


Matangazo

  • NYARAKA ZA WAKUU WA SHULE WALIMU WAKUU October 10, 2022
  • Ufatiliaji wa Kina Kusaka wasiokata Leseni za Biashara 2017 March 20, 2017
  • Fedha za Mradi wa P4R mwezi Machi 2017 April 13, 2017
  • Fedha za Mradi wa Barabara Machi 2017 April 13, 2017
  • Angalia Yote

Habari Mpya

  • NYUMBA YA WALIMU SHULE YA SEKONDARI MJIMWEMA IPO HATUA YA UMALIZIAJI. Building

    May 08, 2025
  • MAANDALIZI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU YAENDELEA UJIJI, DC AKAGUA MIRADI. National touch

    May 07, 2025
  • SERIKALI YAENDELEA KUTOA MSAADA WA KIBINADAMU WAATHIRIKA WA MVUA KIGOMA UJIJI. Flood

    May 05, 2025
  • NMB YAKABIDHI VIFAA TIBA KIGOMA UJIJI. Health

    May 03, 2025
  • Angalia Yote

Picha za Kuona

MWENGE WA UHURU 2023
Picha za Kuona Zaidi

Kurasa za Haraka

  • Ofisi ya Rais Utumishi
  • Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tume ya Ajira

Kurasa Husishi

  • Wizara ya Elimu
  • Wizara ya Afya
  • TCU
  • Mikopo Vyuo Vya Elimu Ya Juu
  • Ofisi ya RAS Kigoma
  • Jiji Mwanza

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    Manispaa ya Kigoma Ujiji

    Sanduku la Posta: S.L.P 44

    Simu: +255 28 2802535

    Namba ya Simu: +255765660847

    Barua pepe: municipal@kigomaujijimc.go.tz ictsecurity@kigomaujijimc.go.tz

Mawasiliano Mbalimbali

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera ya Usiri
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani
    • Huduma

Hakimiliki@2017 Manispaa ya Kigoma Ujiji. Haki Zote Zimehifadhiwa