• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua za Watumishi |
    • Malalamiko |
Kigoma Ujiji Municipal Council
Kigoma Ujiji Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa Kigoma Ujiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Rasilimali Watu
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango,Takwimu na Usimamizi
      • Fedha na Biashara
      • Maji
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Uvuvi na Ufugaji
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazingira
      • Afya
    • Vitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Sekta ya Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha Ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati Za Kudumu Za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango miji na Mazingira
      • Ukimwi
      • Kamati Ya Maadili
      • Uchumi Afya na Elimu
    • Ratiba
      • Kamati Za Madiwani
      • Ratiba Kuonana Na Meya
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyo Kamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba
    • Picha za Kuona
      • Mh.Meya
    • Tukio
    • Habari

Upimaji Ardhi


UPIMAJI WA ARDHI MANISPAA KIGOMA UJIJI

Imeandaliwa na Ofisi ya Mkurugenzi Manispaa Kigoma Ujiji tarehe 27/03/2017

UTANGULIZI:

Upimaji na Ramani ni kitengo katika Idara ya Mipango Miji chenye jukumu la kupima ardhi pamoja na utayarishaji wa ramani (Survey plan) mbalimbali za mjini na vijijini. Ramani hizo ni msingi wa kubuni, kutekeleza na kuratibu mipango ya maendeleo juu ya ardhi katika sekta na kwa matumizi mbalimbali.

UPIMAJI (Cadastral Surveys):

Upimaji ni uwekaji wa kumbukumbu za kiwanja, mahali kilipo na ukubwa wake. Kumbukumbu hizi zinahifadhiwa ,kimchoro kwenye ramani (survey plan), kimahesabu (Co-ordinates) na kuweka alama za mipaka (beacons) kwenye kiwanja husika na kuidhinishwa,kusajiliwa na Wizara ya Ardhi nyumba na makazi.

KAZI ZA MPIMAJI (Surveyor):

•Kazi za mpima ardhi zinajumuisha; kuweka mipaka ya viwanja vipya.

•Kurudishia mipaka ya viwanja ambavyo vimeshapimwa na mipaka yake(beacions) zimepotea

•Kuchora ramani za Kiwanja/Viwanja.

TARATIBU ZA UPIMAJI

Ardhi ni eneo la juu la uso wa dunia. Ardhi hii ni mali ya Serikali na msimamizi wake Mkuu ni Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ili mwananchi aweze kupewa hati Miliki ya kiwanja (ardhi), anatakiwa awe na muhtasari wa Kamati ya Maendeleo ya Kata unaodhibitisha uhalali wa ardhi hiyo.

Maombi ya kupimiwa ardhi yanatumwa kwa Afisa Ardhi wa Manispaa Kigoma Ujiji. Afisa Ardhi atafanya yafuatayo:-

•Kukagua eneo kuwa ni huru, halina mgogogro wa mipaka, halijawekwa rehani,

•Ardhi husika ina mchoro wa Mipango Miji ulioidhinishwa na Wizara ya Ardhi nyumba na makazi (Approved town Plan drawing)

•Ardhi husika haina upimaji uliokwisha fanyika kwa lengo la umilikishwaji ardhi.

Baada ya Afisa Ardhi kukamilisha ukaguzi wake, mpima wa Manispaa atatoa maelekezo ya upimaji (Survey Instruction) kwa mpimaji yeyote atakayehusika na zoezi la upimaji.

Baada ya upimaji kukumilika, nyaraka zote huwakilishwa kwa Mkurugenzi wa Upimaji na Ramani kukaguliwa, kuthibitishwa na kusajiliwa kama kumbukumbu rasmi ya mipaka husika

Ili mwananchi aweze kupewa hati miliki ardhi Halmashauri ya Manispaa Kigoma Ujiji hana budi kuwa na kumbukumbu ya mipaka ya ardhi hiyo mahali ilipo na ukubwa wake. Pia anatakiwa awe na muhtasari wa Kamati ya Maendeleo ya Kata uliosaniwa na viongozi wahausika,kwa anayemiliki ardhi hiyo kimila au kwa aliyenunua ili kuthibitisha mmiliki wa ardhi hiyo kisheria.

Mwananchi huomba kupimiwa ardhi kwa lengo la kufanikisha umilikishwaji chini ya Sheria Sura Na. 390 (Sheria ya upimaji ardhi) na mchoro wa upimaji uliyoidhinishwa ndio uthibitisho rasmi wa mipaka ya ardhi iliyopimwa.

Faida za upimaji ni kama ifuatavyo:-

•Kuondoa tatizo la migogoro ya mipaka kwa kusuluhishwa kisheria.

•Kupata mikopo mbalimbali kwa kutumia raslimali ya ardhi iliyopimwa.

•Urasimishaji.

•Utambulisho wa mahali kiwanja kilipo.

•Kuongezeka dhamani ya kiwanja.

•Kupanga matumizi ya ardhi ili kuchangia maendeleo katika Manispaa yetu.

Matangazo

  • NYARAKA ZA WAKUU WA SHULE WALIMU WAKUU October 10, 2022
  • Ufatiliaji wa Kina Kusaka wasiokata Leseni za Biashara 2017 March 20, 2017
  • Fedha za Mradi wa P4R mwezi Machi 2017 April 13, 2017
  • Fedha za Mradi wa Barabara Machi 2017 April 13, 2017
  • Angalia Yote

Habari Mpya

  • JENGO LA UTAWALA KIGOMA UJIJI LAANZA KUJENGWA. Administration

    May 16, 2025
  • KITUO CHA AFYA KUJENGWA KATA YA RUSIMBI. Health

    May 16, 2025
  • MKURUGENZI KIGOMA UJIJI ATEMBELEA MIRADI YA MAENDELEO. Project

    May 15, 2025
  • VYANDARUA VYENYE DAWA KUGAWIWA BURE KWA WANANCHI KIGOMA UJIJI.

    May 13, 2025
  • Angalia Yote

Picha za Kuona

MWENGE WA UHURU 2023
Picha za Kuona Zaidi

Kurasa za Haraka

  • Ofisi ya Rais Utumishi
  • Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tume ya Ajira

Kurasa Husishi

  • Wizara ya Elimu
  • Wizara ya Afya
  • TCU
  • Mikopo Vyuo Vya Elimu Ya Juu
  • Ofisi ya RAS Kigoma
  • Jiji Mwanza

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    Manispaa ya Kigoma Ujiji

    Sanduku la Posta: S.L.P 44

    Simu: +255 28 2802535

    Namba ya Simu: +255765660847

    Barua pepe: municipal@kigomaujijimc.go.tz ictsecurity@kigomaujijimc.go.tz

Mawasiliano Mbalimbali

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera ya Usiri
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani
    • Huduma

Hakimiliki@2017 Manispaa ya Kigoma Ujiji. Haki Zote Zimehifadhiwa