Na Mwandishi Wetu
Mafunzo kwa Watumishi wa ajira mpya Manispaa ya Kigoma/Ujiji yamefanyika Leo Septemba 30, 2025 katika ukumbi wa Manispaa hiyo.
Mafunzo hayo yamefanyika kwa Watumishi 138 wa Kada za Utawala, elimu, na afya kwa lengo la kuwawezesha kutekeleza majukumu na kuwahudumia Wananchi katika maeneo yao.
Miongoni mwa mada zilizowasilishwa kwa Watumishi hao ni pamoja na wajibu wa majukumu ya Mtumishi,Matumizi ya mifumo ya kielekroniki katika utendaji kazi, Mavazi, Uwajibikaji na utunzaji nyaraka.
Zaidi bofya www.kigomaujijimc.go.tz
Manispaa ya Kigoma Ujiji
Sanduku la Posta: S.L.P 44
Simu: +255 28 2802535
Namba ya Simu: +255765660847
Barua pepe: municipal@kigomaujijimc.go.tz ictsecurity@kigomaujijimc.go.tz
Hakimiliki@2017 Manispaa ya Kigoma Ujiji. Haki Zote Zimehifadhiwa