Balozi wa China Nchini Tanzania Dr.Lu Y akiwa anasaini kitabu cha wageni katika Ukumbi wa Mikutano wa Manispaa Kigoma Ujiji leo tarehe 18.07.2017, akiwa na Wataalam aliombatana nao pamoja na Wawekezeji kutoka Nchini China kulia kwake ni Mh. Zitto Zuberi (Mb) wa Kigoma Mjin. Akiwa kwenye ziara ya kutembelea maeneo muhimu ya uwekezaji ndani ya Manispaa Kigoma Ujiji
Manispaa ya Kigoma Ujiji
Sanduku la Posta: S.L.P 44
Simu: +255 28 2802535
Namba ya Simu: +255765660847
Barua pepe: municipal@kigomaujijimc.go.tz ictsecurity@kigomaujijimc.go.tz
Hakimiliki@2017 Manispaa ya Kigoma Ujiji. Haki Zote Zimehifadhiwa