Na Mwandishi Wetu
Wananchi wa Mikoa ya Kigoma na Tabora wanaendelea kujitokeza katika banda la Manispaa ya Kigoma/Ujiji katika Maonesho ya Wakulima na Wafugaji (Nane nane) Kanda ya Magharibi yanayoendelea katika Viwanja vya Fatuma Mwasa Manispaa ya Tabora.
Banda la Manispaa ya Kigoma/Ujiji limeendelea kuwavutia Wananchi wengi wa Kanda ya Magharibi kwa lengo la kujifunza Teknolojia ya Kilimo na ufugaji wa Kisasa lakini pia kujipatia bidhaa za Dagaa, Samaki wa Chakula na Mapambo, na mazao ya mnyororo wa thamani itokanayo na zao la Michikichi.
Kauli mbiu ya Mwaka huu 2025 ni "Chagua Viongozi Bora kwa maendeleo ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi".
Zaidi bofya www.kigomaujijimc.go.tz2
Manispaa ya Kigoma Ujiji
Sanduku la Posta: S.L.P 44
Simu: +255 28 2802535
Namba ya Simu: +255765660847
Barua pepe: municipal@kigomaujijimc.go.tz ictsecurity@kigomaujijimc.go.tz
Hakimiliki@2017 Manispaa ya Kigoma Ujiji. Haki Zote Zimehifadhiwa