Na Mwandishi Wetu
Mkuu wa Wilaya ya Kigoma Dr. Rashid Chuachua Leo August 07, 2025 ametembelea banda la Manispaa ya Kigoma/Ujiji katika Maonesho ya Wakulima na Wafugaji (Nane Nane) yanayoendelea kanda ya Magharibi yakifanyikia viwanja vya Fatuma Mwasa Manispaa ya Tabora.
Katika banda la Manispaa amekagua Teknolojia ya Kilimo na Mifugo na kujionea bidhaa za Wajasiriamali wanaoshiriki maonesho hayo.
Kauli mbiu ya Nane Nane Mwaka huu ni "Chagua Viongozi Bora kwa maendeleo ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi".
Zaidi bofya www.kigomaujijimc.go.tz
Manispaa ya Kigoma Ujiji
Sanduku la Posta: S.L.P 44
Simu: +255 28 2802535
Namba ya Simu: +255765660847
Barua pepe: municipal@kigomaujijimc.go.tz ictsecurity@kigomaujijimc.go.tz
Hakimiliki@2017 Manispaa ya Kigoma Ujiji. Haki Zote Zimehifadhiwa