• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua za Watumishi |
    • Malalamiko |
Kigoma Ujiji Municipal Council
Kigoma Ujiji Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa Kigoma Ujiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Rasilimali Watu
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango,Takwimu na Usimamizi
      • Fedha na Biashara
      • Maji
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Uvuvi na Ufugaji
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazingira
      • Afya
    • Vitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Sekta ya Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha Ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati Za Kudumu Za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango miji na Mazingira
      • Ukimwi
      • Kamati Ya Maadili
      • Uchumi Afya na Elimu
    • Ratiba
      • Kamati Za Madiwani
      • Ratiba Kuonana Na Meya
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyo Kamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba
    • Picha za Kuona
      • Mh.Meya
    • Tukio
    • Habari

IDADI KUBWA YA WATU YAJITOKEZA BANDA LA MANISPAA YA KIGOMA/UJIJI MAONESHO YA NANE NANE.farmers festivals

Posted on: August 6th, 2022

Na Mwandishi Wetu

Ikiwa ni siku ya sita Leo August 6, 2022 tangu maonesho ya Wakulima na Wafugaji (Nane Nane)  kuanza Kanda ya Magharibi ikihusisha Mkoa wa Tabora na Kigoma inayofanyikia katika Viwanja vya Nane nane eneo la  Ipuli Manispaa ya Tabora    

Manispaa ya Kigoma/Ujiji imeendelea kupokea idadi kubwa ya Wageni wanaofika katika banda lake kwa lengo la kununua bidhaa za  Wajasiriamali, kujifunza Teknolojia ya zao la Kisasa la Michikichi,  kilimo cha Mahindi, Kilimo cha  Nyanya, Utengenezaji wa chakula cha kuku na Ufugaji wake, Ufugaji wa Samaki na Teknolojia ya Ufugaji wa Samaki wa Mapambo majumbani

Aidha wageni wengine waliofika katika Banda hilo wamejipatia bidhaa mbalimbali kwa Wajasiriamali, Wakulima na Wafugaji kutoka Manispaa ya Kigoma/Ujiji kwa   kununua Samaki wa kutokea Mkoani Kigoma (Mgebuka), Dagaa wa Kigoma, Shuka za kufuma (Maarufu Shuka za Kigoma), Mafuta ya Mawese na Mise,  Miche ya zao la Kisasa Michikichi na kujipatia elimu  mbalimbali


Mmoja wa Wajasiriamali wa Viungo anayefanya shughuli zake Manispaa ya Kigoma/Ujiji katika Soko la Masanga ambaye pia ni Mshiriki wa Maonesho ya Wakulima na Wafugaji katika viwanja vya Nane nane  Ipuli Manispaa ya Tabora   Ndugu. Makiga Abdallah ameupongeza uongozi wa  Manispaa ya Kigoma/Ujiji kwa kuwapatia Fursa Wajasiriamali, Wakulima na Wafugaji wengi kuja katika maonesho hayo kwa lengo la kuuza na kujifunza Mambo ya biashara na teknolojia ya kilimo na Ufugaji huku akisema ujio huo umekuwa na tija kwake kwa kuuza Bidhaa zake katika maonesho hayo  

Kauli Mbiu ya Mwaka huu kwa Sikukuu ya Wakulima na Wafugaji (Nane Nane) ni "  Agenda 10/30: Kilimo ni Biashara, Shiriki kuhesabiwa kwa mipango bora ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi".

Karibu Banda la Manispaa ya Kigoma/Ujiji viwanja vya Nane Nane Ipuli Manispaa ya Tabora ujipatie bidhaa na kujifunza Teknolojia Mbalimbali.




Matangazo

  • NYARAKA ZA WAKUU WA SHULE WALIMU WAKUU October 10, 2022
  • Ufatiliaji wa Kina Kusaka wasiokata Leseni za Biashara 2017 March 20, 2017
  • Fedha za Mradi wa P4R mwezi Machi 2017 April 13, 2017
  • Fedha za Mradi wa Barabara Machi 2017 April 13, 2017
  • Angalia Yote

Habari Mpya

  • NYUMBA YA WALIMU SHULE YA SEKONDARI MJIMWEMA IPO HATUA YA UMALIZIAJI. Building

    May 08, 2025
  • MAANDALIZI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU YAENDELEA UJIJI, DC AKAGUA MIRADI. National touch

    May 07, 2025
  • SERIKALI YAENDELEA KUTOA MSAADA WA KIBINADAMU WAATHIRIKA WA MVUA KIGOMA UJIJI. Flood

    May 05, 2025
  • NMB YAKABIDHI VIFAA TIBA KIGOMA UJIJI. Health

    May 03, 2025
  • Angalia Yote

Picha za Kuona

MWENGE WA UHURU 2023
Picha za Kuona Zaidi

Kurasa za Haraka

  • Ofisi ya Rais Utumishi
  • Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tume ya Ajira

Kurasa Husishi

  • Wizara ya Elimu
  • Wizara ya Afya
  • TCU
  • Mikopo Vyuo Vya Elimu Ya Juu
  • Ofisi ya RAS Kigoma
  • Jiji Mwanza

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    Manispaa ya Kigoma Ujiji

    Sanduku la Posta: S.L.P 44

    Simu: +255 28 2802535

    Namba ya Simu: +255765660847

    Barua pepe: municipal@kigomaujijimc.go.tz ictsecurity@kigomaujijimc.go.tz

Mawasiliano Mbalimbali

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera ya Usiri
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani
    • Huduma

Hakimiliki@2017 Manispaa ya Kigoma Ujiji. Haki Zote Zimehifadhiwa