• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua za Watumishi |
    • Malalamiko |
Kigoma Ujiji Municipal Council
Kigoma Ujiji Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa Kigoma Ujiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Rasilimali Watu
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango,Takwimu na Usimamizi
      • Fedha na Biashara
      • Maji
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Uvuvi na Ufugaji
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazingira
      • Afya
    • Vitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Sekta ya Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha Ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati Za Kudumu Za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango miji na Mazingira
      • Ukimwi
      • Kamati Ya Maadili
      • Uchumi Afya na Elimu
    • Ratiba
      • Kamati Za Madiwani
      • Ratiba Kuonana Na Meya
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyo Kamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba
    • Picha za Kuona
      • Mh.Meya
    • Tukio
    • Habari

JUMA AWESO ATIMIZA AHADI YAKE MABORESHO UWANJA WA LAKE TANGANYIKA . Sports

Posted on: August 11th, 2023

Na Mwandishi Wetu

Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Mhe.  Thobias Adengenye Jana August 10, 2023 alipokea ahadi ya Waziri wa Maji Mhe. Juma Aweso (Mb) ya maboresho na ukarabati wa uwanja wa Lake Tanganyika


Mkuu huyo wa Mkoa alipokea kiasi cha fedha Million nne (Tsh 4, 000, 000/=) na mifuko ya simenti mia mbili (200) aliyoiahidi wakati alipofanya ziara Mkoani Kigoma Mwezi Julai Mwaka huu


Mkuu huyo wa Mkoa alimshukuru Kiongozi huyo kwa naona alivyojitoa katika maboresho ya uwanja yatakayoenda sambamba na kuongezeka kwa mzunguko wa fedha na ukuaji wa Uchumi kwa #WakaziwaManispaayaKigoma/Ujiji kipindi cha #LigiKuuyaTanzaniabara   na Michezo mingine


Aidha Mkuu huyo wa Mkoa aliwataka Wadau wengine kujitokeza kuendelea kutoa michango ili uwanja kuendelea kuwa na vigezo vya Kitaifa na kimataifa  


Mara baada ya Kupokea ahadi hiyo Mkuu huyo wa Mkoa alikabidhi kwa kamati ya Maboresho ya Uwanja huo chini ya Mkuu wa Wilaya ya Kigoma Ndugu. Salum Hamis Kali na Katibu ambaye ni Mkurugenzi wa Manispaa ya Kigoma/ Ujiji Bi. Mwantum Mgonja  


Uboreshaji wa Uwanja  unaendelea katika maeneo ya uwanja wa ndani ( Pitch na uzio), Ujenzi wa Ukuta,  umwagiliaji wa eneo la michezo (Pitch), ujenzi wa urefu wa uzio,  uboreshaji wa vyumba , vyoo, Majukwaa, chumba cha huduma ya kwanza, na Ujenzi wa vivuli majukwaa ya Mashabiki


Matangazo

  • NYARAKA ZA WAKUU WA SHULE WALIMU WAKUU October 10, 2022
  • Ufatiliaji wa Kina Kusaka wasiokata Leseni za Biashara 2017 March 20, 2017
  • Fedha za Mradi wa P4R mwezi Machi 2017 April 13, 2017
  • Fedha za Mradi wa Barabara Machi 2017 April 13, 2017
  • Angalia Yote

Habari Mpya

  • NYUMBA YA WALIMU SHULE YA SEKONDARI MJIMWEMA IPO HATUA YA UMALIZIAJI. Building

    May 08, 2025
  • MAANDALIZI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU YAENDELEA UJIJI, DC AKAGUA MIRADI. National touch

    May 07, 2025
  • SERIKALI YAENDELEA KUTOA MSAADA WA KIBINADAMU WAATHIRIKA WA MVUA KIGOMA UJIJI. Flood

    May 05, 2025
  • NMB YAKABIDHI VIFAA TIBA KIGOMA UJIJI. Health

    May 03, 2025
  • Angalia Yote

Picha za Kuona

MWENGE WA UHURU 2023
Picha za Kuona Zaidi

Kurasa za Haraka

  • Ofisi ya Rais Utumishi
  • Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tume ya Ajira

Kurasa Husishi

  • Wizara ya Elimu
  • Wizara ya Afya
  • TCU
  • Mikopo Vyuo Vya Elimu Ya Juu
  • Ofisi ya RAS Kigoma
  • Jiji Mwanza

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    Manispaa ya Kigoma Ujiji

    Sanduku la Posta: S.L.P 44

    Simu: +255 28 2802535

    Namba ya Simu: +255765660847

    Barua pepe: municipal@kigomaujijimc.go.tz ictsecurity@kigomaujijimc.go.tz

Mawasiliano Mbalimbali

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera ya Usiri
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani
    • Huduma

Hakimiliki@2017 Manispaa ya Kigoma Ujiji. Haki Zote Zimehifadhiwa