Na Mwandishi Wetu
Kliniki ya ardhi inaendelea kata ya Kibirizi Manispaa ya Kigoma/Ujiji ikiwa ni Siku ya Tano (05) tangu kuanza yenye lengo la kusikiliza na kutatua kero za Wananchi.
Kliniki hiyo ilianza Jumatatu June 16, 2025 na inatarajia kufanyika kwa mda wa Siku Saba (07) ikiongozwa na Wataalamu wa Ardhi na Mipango miji katika Ofisi ya Kata hiyo.
Huduma zinazotolewa katika kliniki hiyo ni pamoja na uandaaji wa Hati miliki za Wananchi, Malipo ya kodi ya ardhi, kusikiliza na kutatua migogoro ya ardhi.
Zaidi bofya www.kigomaujijimc.go.tz
Manispaa ya Kigoma Ujiji
Sanduku la Posta: S.L.P 44
Simu: +255 28 2802535
Namba ya Simu: +255765660847
Barua pepe: municipal@kigomaujijimc.go.tz ictsecurity@kigomaujijimc.go.tz
Hakimiliki@2017 Manispaa ya Kigoma Ujiji. Haki Zote Zimehifadhiwa