Na Mwandishi Wetu
Wanawake kutoka Kata za Manispaa ya Kigoma/Ujiji wameshiriki Shughuli za Ujenzi wa Shule Mpya inayojengwa Kata ya Kipampa ikiwa ni maadhimisho ya Siku ya Mwanamke Duniani.
Wanawake hao wameshiriki Shughuli hiyo ya Kijamii wakiongozwa na Naibu Meya wa Manispaa hiyo Mhe. Mgeni Omary Kakolwa kwa lengo la kutoa nguvu kazi ili kuimarisha haki na usawa katika kushiriki shughuli za Kimaendeleo na kufanya Wanawake kujiamini.
Wanawake hao wameshiriki Shughuli za kijamii ikiwa ni maadhimisho ya siku ya mwanamke duniani yanayohitimishwa March 08, kila Mwaka.
Kauli Mbiu ya Mwaka huu "Wanawake na Wasichana 2025, Tuimarishe Haki,Usawa na Uwezeshaji"
Zaidi bofya www.kigomaujijimc.go.tz
Manispaa ya Kigoma Ujiji
Sanduku la Posta: S.L.P 44
Simu: +255 28 2802535
Namba ya Simu: +255765660847
Barua pepe: municipal@kigomaujijimc.go.tz ictsecurity@kigomaujijimc.go.tz
Hakimiliki@2017 Manispaa ya Kigoma Ujiji. Haki Zote Zimehifadhiwa