Na Mwandishi Wetu
Maafisa wanafunzi kozi ya 40/25 kutoka chuo cha ukamanda na unadhimu-Tanzania Leo OKtoba 13, 2025 wamefanya ziara ya Mafunzo Manispaa ya Kigoma/Ujiji.
Ziara hiyo imefanyika Wakiongozwa na Mkuu wa Chuo Cha Ukamanda na Unadhimu Kanali Jafari Ramadhan Aristide.
Katika Ziara hiyo wamepata taarifa mbalimbali za Shughuli za Maendeleo zinazotekelezwa Manispaa ya Kigoma/Ujiji.
Aidha Maafisa hao wamefanya ziara ya kutembelea Ujenzi wa Soko la Mwanga, Ujenzi wa Barabara ya Bangwe-Ujiji na Ujenzi wa daraja la Mto Ruiche inayotekelezwa kupitia Mradi wa uboreshaji wa miundombinu ya Miji kiushindani Tanzania (TACTICS).
Zaidi bofya www.kigomaujijimc.go.tz
Manispaa ya Kigoma Ujiji
Sanduku la Posta: S.L.P 44
Simu: +255 28 2802535
Namba ya Simu: +255765660847
Barua pepe: municipal@kigomaujijimc.go.tz ictsecurity@kigomaujijimc.go.tz
Hakimiliki@2017 Manispaa ya Kigoma Ujiji. Haki Zote Zimehifadhiwa