Na Mwandishi Wetu
Walimu wa MEMKWA Manispaa ya Kigoma/Ujiji wanaendelea na Mafunzo ya Siku tano (05) kuhusu malezi,unasihi na ulinzi wa mtoto yakifanyikia Shule ya Msingi Muungano.
Mafunzo hayo yanaendelea ikiwa ni Siku ya pili yakifadhiliwa na Shirika la Kimataifa la kuhudumia Watoto (UNICEF).
Akizungumza katika Mafunzo hayo Afisa Vijana Mkoa wa Kigoma Ndugu. Edward Manase amesema mafunzo hayo yanalenga kuwajengea Walimu mtazamo chanya kuhusu Ulinzi wa mtoto, kuimarisha huduma za malezi,unasihi na kuwasaidia watoto walioshindwa kuendelea na masomo kutokana na Changamoto mbalimbali.
Manispaa ya Kigoma Ujiji
Sanduku la Posta: S.L.P 44
Simu: +255 28 2802535
Namba ya Simu: +255765660847
Barua pepe: municipal@kigomaujijimc.go.tz ictsecurity@kigomaujijimc.go.tz
Hakimiliki@2017 Manispaa ya Kigoma Ujiji. Haki Zote Zimehifadhiwa