Na Mwandishi Wetu
Mbio za Mwenge wa Uhuru zimehitimishwa Manispaa ya Kigoma/Ujiji ambapo ulipitia miradi 7 yenye thamani ya Tsh 48,914,627,659.80/=.
Mkuu wa Wilaya ya Kigoma Dr. Rashid Chuachua akikabidhi Mapema Leo Septemba 22, 2025 kwa Mkuu wa Wilaya ya Uvinza Mhe. Dina Mathamani amesema Mwenge wa Uhuru umekimbizwa katika Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma/Ujiji na Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma.
Amesema Jumla ya miradi 14 yenye thamani ya Tsh 51,743,251,882.80/= imetembelewa na Mwenge wa Uhuru Mwaka huu kwa kuzinduliwa, kuweka mawe ya msingi, na kukaguliwa.
Kauli Mbiu ya Mwenge wa Uhuru Mwaka huu" JitokeZe kushiriki Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 kwa Amani na utulivu".
Zaidi bofya www.kigomaujijimc.go.tz
Manispaa ya Kigoma Ujiji
Sanduku la Posta: S.L.P 44
Simu: +255 28 2802535
Namba ya Simu: +255765660847
Barua pepe: municipal@kigomaujijimc.go.tz ictsecurity@kigomaujijimc.go.tz
Hakimiliki@2017 Manispaa ya Kigoma Ujiji. Haki Zote Zimehifadhiwa