Na Mwandishi Wetu
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Mhe. Thobias Andengenye amekabidhi Ofisi kwa Mkuu wa Mkoa Mpya wa Kigoma Balozi Simoni Siro mara baada ya mabadiliko ya Uongozi yaliyofanywa na Rais Dr. Samia Suluhu Hassan hivi Karibuni.
Hafla ya Makabidhiano imefanyika Leo Julai 2, 2025 katika Ofisi za Mkuu wa Mkoa zikihudhuriwa na Viongozi mbalimbali wa Serikali, Viongozi wa Vyama vya Kisiasa, Viongozi dini, Waandishi wa habari pamoja na Wananchi.
Zaidi bofya www.kigomaujijimc.go.tz
Manispaa ya Kigoma Ujiji
Sanduku la Posta: S.L.P 44
Simu: +255 28 2802535
Namba ya Simu: +255765660847
Barua pepe: municipal@kigomaujijimc.go.tz ictsecurity@kigomaujijimc.go.tz
Hakimiliki@2017 Manispaa ya Kigoma Ujiji. Haki Zote Zimehifadhiwa