Na Mwandishi Wetu
Mradi wa Wezesha binti chini ya Shirika la Maendeleo la Ubelgiji (Enabel) Leo Desemba 13, 2024 wameendelea kutambulisha Mradi kwa Wakazi na Wananchi wa Kata ya Rubuga iliyopo Manispaa ya Kigoma/Ujiji.
Zoezi la utambulishaji mradi limefanyika kwa kufanya mkutano wa hadhara katika eneo la Firdausi.
Mradi wa Wezesha binti unatarajia kutekeleza urejeshashaji wa Wanafunzi Shuleni Wenye umri wa Miaka 14-29 walioacha masomo ya upili kutokana na sababu mbalimbali lakini pia Ujenzi wa Matundu ya Vyoo katika Shule ya Sekondari Rubuga.
Mradi unalenga kuwawezesha Vijana hasa Wasichana wanaoishi katika mazingira magumu ili kupata elimu ya upili katika hali ya usalama, , Ujuzi na ufundi wa Ujasiriamali na upatikanaji wa ajira.
Zaidi bofya www.kigomaujijimc.go.tz
Manispaa ya Kigoma Ujiji
Sanduku la Posta: S.L.P 44
Simu: +255 28 2802535
Namba ya Simu: +255765660847
Barua pepe: municipal@kigomaujijimc.go.tz ictsecurity@kigomaujijimc.go.tz
Hakimiliki@2017 Manispaa ya Kigoma Ujiji. Haki Zote Zimehifadhiwa