Na Mwandishi Wetu
Diwani wa Kata ya Mwanga Kusini Manispaa ya Kigoma/Ujiji Mhe. Mussa Maulidi Ibrahimu amechaguliwa na Madiwani kuwa Meya wa Manispaa ya Kigoma/Ujiji.
Diwani huyo amechaguliwa kwa Kura 24 Kati ya Kura 25 zilizopigwa na Waheshimiwa Madiwani huku Naibu Meya akichaguliwa Mhe. Mgeni Omary Kakolwa kwa Kura 24 Kati ya Kura 25 zilizopigwa.
Meya huyo amewashukuru Wananchi Kata anayoiongoza kwa kumchagua na Waheshimiwa Madiwani kumchagua kuwa Meya akiahidi ushirikiano kwao katika usimamizi wa miradi mbalimbali inayoendelea kutekelezwa.
Zaidi bofya www.kigomaujijimc.go.tz
Manispaa ya Kigoma Ujiji
Sanduku la Posta: S.L.P 44
Simu: +255 28 2802535
Namba ya Simu: +255765660847
Barua pepe: municipal@kigomaujijimc.go.tz ictsecurity@kigomaujijimc.go.tz
Hakimiliki@2017 Manispaa ya Kigoma Ujiji. Haki Zote Zimehifadhiwa