Mwezeshaji wa TASAF makao Makuu Bw.Malamia akiwa anatoa ufafanuzi katika Semina elekezi kwa wawezeshaji ngazi ya Wilaya (Manispaa Kigoma Ujiji) juu ya utaratibu wa malipo kwa njia ya mtandao kwa walengwa wa TASAF III katika Ukumbi wa RAS Mkoani Kigoma