• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua za Watumishi |
    • Malalamiko |
Kigoma Ujiji Municipal Council
Kigoma Ujiji Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa Kigoma Ujiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Rasilimali Watu
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango,Takwimu na Usimamizi
      • Fedha na Biashara
      • Maji
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Uvuvi na Ufugaji
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazingira
      • Afya
    • Vitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Sekta ya Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha Ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati Za Kudumu Za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango miji na Mazingira
      • Ukimwi
      • Kamati Ya Maadili
      • Uchumi Afya na Elimu
    • Ratiba
      • Kamati Za Madiwani
      • Ratiba Kuonana Na Meya
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyo Kamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba
    • Picha za Kuona
      • Mh.Meya
    • Tukio
    • Habari

TIMU YA URATIBU MBIO ZA MWENGE WA UHURU MKOA WA KIGOMA YAFANYA ZIARA KIGOMA UJIJI National Touch

Posted on: June 26th, 2024

Na Mwandishi Wetu

Kamati ya Uratibu wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Mkoa wa Kigoma Leo June 26, 2024 wamefanya ziara ya kukagua na kutembelea miradi inayotarajiwa kutembelewa, kukaguliwa, kuzinduliwa na kuwekewa jiwe la Msingi na Mwenge wa Uhuru kwa Mwaka huu.

Ziara hiyo imefanyika ikiongozwa na Mhandisi wa Mkoa wa Kigoma Eng. Fransis Magoti, na Mwenyeji wake Katibu Tawala wa Wilaya ya Kigoma Ndugu. Mganwa Nzota ambapo wametembeleana na kukagua  miradi ya utawala, elimu, afya, barabara, Vijana na uhifadhi wa Mazingira.


Akitoa maelekezo Mhandisi wa Mkoa ameitaka Manispaa ya Kigoma/Ujiji kuendelea kujiandaa na mapokezi ya Mwenge wa Uhuŕu  ikiwa ni pamoja na   kukamilisha miradi inayoendelea kutekelezwa kwa kuzingatia vigezo na alama  zilizowekwa Mwaka huu.


Mkurugenzi wa Manispaa ya Kigoma/Ujiji Ndugu. Kisena Mabuba ameipongeza timu ya Uratibu wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Mkoa wa Kigoma kwa namna walivyotoa ushauri na maelekezo katika miradi  huku akisema atasimamia maelekekezo hayo na kuyafanyia kazi kwa wakati.    


Mbio za Mwenge wa Uhuru zinatarajia  kukimbizwa Manispaa ya Kigoma/Ujiji Septemba 16, na  kauli mbiu  ya Mwaka huu 2024 ni  "Tunza Mazingira na Shiriki uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa ujenzi wa Taifa endelevu".  


Zaidi tembelea www.kigomaujijimc.go.tz

Matangazo

  • NYARAKA ZA WAKUU WA SHULE WALIMU WAKUU October 10, 2022
  • Ufatiliaji wa Kina Kusaka wasiokata Leseni za Biashara 2017 March 20, 2017
  • Fedha za Mradi wa P4R mwezi Machi 2017 April 13, 2017
  • Fedha za Mradi wa Barabara Machi 2017 April 13, 2017
  • Angalia Yote

Habari Mpya

  • NYUMBA YA WALIMU SHULE YA SEKONDARI MJIMWEMA IPO HATUA YA UMALIZIAJI. Building

    May 08, 2025
  • MAANDALIZI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU YAENDELEA UJIJI, DC AKAGUA MIRADI. National touch

    May 07, 2025
  • SERIKALI YAENDELEA KUTOA MSAADA WA KIBINADAMU WAATHIRIKA WA MVUA KIGOMA UJIJI. Flood

    May 05, 2025
  • NMB YAKABIDHI VIFAA TIBA KIGOMA UJIJI. Health

    May 03, 2025
  • Angalia Yote

Picha za Kuona

MWENGE WA UHURU 2023
Picha za Kuona Zaidi

Kurasa za Haraka

  • Ofisi ya Rais Utumishi
  • Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tume ya Ajira

Kurasa Husishi

  • Wizara ya Elimu
  • Wizara ya Afya
  • TCU
  • Mikopo Vyuo Vya Elimu Ya Juu
  • Ofisi ya RAS Kigoma
  • Jiji Mwanza

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    Manispaa ya Kigoma Ujiji

    Sanduku la Posta: S.L.P 44

    Simu: +255 28 2802535

    Namba ya Simu: +255765660847

    Barua pepe: municipal@kigomaujijimc.go.tz ictsecurity@kigomaujijimc.go.tz

Mawasiliano Mbalimbali

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera ya Usiri
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani
    • Huduma

Hakimiliki@2017 Manispaa ya Kigoma Ujiji. Haki Zote Zimehifadhiwa