Na Mwandishi Wetu
Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Kigoma Ndugu. Elisante Mbwilo amewataka Waheshimiwa Madiwani kuwatumikia Wananchi kwa uaminifu na uadilifu kama walivyoapa.
Ameyasema hayo Leo Desemba 02, 2025 alipokuwa akihutubia Mkutano wa Kwanza wa Baraza la Manispaa ya Kigoma/Ujiji ukiofanyika katika ukumbi wa NNSF Kigoma mara baada ya Madiwani wateule kula kiapo cha utii na ahadi ya uadilifu kwa Viongozi wa Umma.
Amewataka kusimamia ukusanyaki wa miradi ya Maendeleo sambamba na ukusanyaki wa Mapato kikamilifu na kuhakikisha Wananchi wanapata maendeleo.
Zaidi bofya www.kigomaujijimc.go.tz
Manispaa ya Kigoma Ujiji
Sanduku la Posta: S.L.P 44
Simu: +255 28 2802535
Namba ya Simu: +255765660847
Barua pepe: municipal@kigomaujijimc.go.tz ictsecurity@kigomaujijimc.go.tz
Hakimiliki@2017 Manispaa ya Kigoma Ujiji. Haki Zote Zimehifadhiwa