Na Mwandishi Wetu
Ujenzi wa jengo jipya la utawala la ghorofa tatu (03) Manispaa ya Kigoma/Ujiji unaendelea ukiwa hatua ya ujenzi wa ukuta wa sakafu ya chini.
Ujenzi wa Jengo hilo unatarajia kutumia kiasi cha fedha za Kitanzania Billion tatu na Million Mia tatu hadi kukamilika kwake ambapo Manispaa hiyo imeshapokea kiasi cha fedha za Kitanzania Billion moja (Tsh 1,000,000,000/=) kutoka Serikali Kuu.
Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dr. Samia Suluhu Hassan imeendelea kuboresha miundombinu ya utoaji huduma na uimarishaji wa Utawala tawala bora kwa Wananchi wa Manispaa ya Kigoma/Ujiji.
Zaidi bofya www.kigomaujijimc.go.tz
Manispaa ya Kigoma Ujiji
Sanduku la Posta: S.L.P 44
Simu: +255 28 2802535
Namba ya Simu: +255765660847
Barua pepe: municipal@kigomaujijimc.go.tz ictsecurity@kigomaujijimc.go.tz
Hakimiliki@2017 Manispaa ya Kigoma Ujiji. Haki Zote Zimehifadhiwa