Kamati ya Fedha na Uongozi ikiongonzwa na Mwenyekiti wake Mh.Hussein Ruhava (Diwani) katika Ukaguzi wa Mradi wa Ujenzi wa Mtaro wa Lubengela ikiwa ni sehemu ya kuona kazi zinazofanywa na Mkandarasi huyo, ili Kamati hiyo iweze kutoa ufafanuzi juu Ujenzi huo Pichani ni baaadhi ya wajumbe wa Kamati ya Fedha na Uongozi ikiwa imeambatana na Wataalam kutoka Ofisisi ya Mkurugenzi pamoja na baadhi ya wananchi waliofika kujionea kinachoendelea.
Manispaa ya Kigoma Ujiji
Sanduku la Posta: S.L.P 44
Simu: +255 28 2802535
Namba ya Simu: +255765660847
Barua pepe: municipal@kigomaujijimc.go.tz ictsecurity@kigomaujijimc.go.tz
Hakimiliki@2017 Manispaa ya Kigoma Ujiji. Haki Zote Zimehifadhiwa