Na Mwandishi Wetu
Wasimamizi wa vituo vya Wapiga kura Jimbo la Kigoma Mjini Leo Oktoba 26, 2025 wameapa kiapo cha kujitoa uachama wa Chama cha siasa na kutunza Siri katika Uchaguzi Mkuu wa Mwaka huu.
Kiapo hicho wameapishwa na Wakili na Mwanasheria wa Tume huru ya Uchaguzi Adv. Lessi Majala katika mafunzo ya Siku mbili (02) yaliayoanza yakitarajia kuhitimishwa Kesho Octoba 27.
Uchaguzi Mkuu wa kuchagua Rais, Wabunge na Madiwani utafanyika Jumatano Oktoba 29, 2025.
#kurayakohakiyakojitokezekupigakura
Zaidi bofya www.kigomaujijimc.go.tz
Manispaa ya Kigoma Ujiji
Sanduku la Posta: S.L.P 44
Simu: +255 28 2802535
Namba ya Simu: +255765660847
Barua pepe: municipal@kigomaujijimc.go.tz ictsecurity@kigomaujijimc.go.tz
Hakimiliki@2017 Manispaa ya Kigoma Ujiji. Haki Zote Zimehifadhiwa