Na Mwandishi Wetu
Mkurugenzi wa Manispaa ya Kigoma/Ujiji Ndugu. Kisena Mabuba amewataka Wenyeviti na Wajumbe wa Serikali za Mitaa kuepuka kuwa chanzo cha migogoro katika maeneo yao ya utawala.
Ameyasema hayo Leo Januari 14, 2025 alipowahutubia katika mafunzo ya Uongozi yanayofanyika kwa Viongozi hao yakitolewa na Wataalamu kutoka Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo.
Kiongozi hiyo amewataka Wenyeviti na Wajumbe wa Serikali za Mitaa kutatua malalamiko na migogoro ya ardhi huku akiwakimbusha wajibu wao wa kutunza na kulinda rasilimali ardhi kwa mjibu wa Sheria za Nchi na kuepuka kuingia katika kashifa za kuuza maeneo ya watu na Umma.
Zaidi bofya www.kigomaujijimc.go.tz
Manispaa ya Kigoma Ujiji
Sanduku la Posta: S.L.P 44
Simu: +255 28 2802535
Namba ya Simu: +255765660847
Barua pepe: municipal@kigomaujijimc.go.tz ictsecurity@kigomaujijimc.go.tz
Hakimiliki@2017 Manispaa ya Kigoma Ujiji. Haki Zote Zimehifadhiwa