Na Mwandishi Wetu
Manispaa ya Kigoma/Ujiji imetoa Mkopo wa zaidi ya Million sitini na tatu kwa vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye ulemavu ikiwa ni asilimia 10 ya makusanyo ya mapato ya ndani.
Zoezi la Utoaji wa Mikopo lilifanyika Siku ya Jumamosi Julai 5, 2025 katika ukumbi wa The Wallet kwa vikundi nane (08) Mgeni rasmi akiwa Katibu Tawala wa Wilaya ya Kigoma Ndugu. Mganwa Nzota.
Halmashauri ilitoa Mikopo Kiasi cha fedha za Kitanzania 63,500,000 kwa kushirikiana na Benki ya CRDB kwa lengo la kujikwamua na kuimarisha Uchumi wa Wananchi na Wanachama wa makundi hayo kupitia Shughuli mbalimbali wanazozitekeleza.
Zaidi bofya www.kigomaujijimc.go.tz
Manispaa ya Kigoma Ujiji
Sanduku la Posta: S.L.P 44
Simu: +255 28 2802535
Namba ya Simu: +255765660847
Barua pepe: municipal@kigomaujijimc.go.tz ictsecurity@kigomaujijimc.go.tz
Hakimiliki@2017 Manispaa ya Kigoma Ujiji. Haki Zote Zimehifadhiwa