JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
OFISI YA RAIS
TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
|
||
|
|
Simu Na.028 2802535 Ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa,
Fax Na. 028 2802535 Halmashauri ya Manispaa,
Email address: municipal@kigomaujijimc.go.tz S.L.P 44,
KIGOMA.
Kumb.Na. I.10/6/92
Tarehe: 31 OKTOBA, 2018
TANGAZO
Ofisi ya Mkurugenzi Manispaa ya Kigoma/Ujiji kitengo cha Maafa inawatangazia wananchi wote kuchukua tahadhari kufuatia utabiri wa mwelekeo wa mvua za msimu wa vuli kipindi cha Oktoba – Desemba ,2018
Maeneo yaliyotabiriwa kuwa na mvua za juu ya wastani yanaweza kukumbwa na mafuriko ambayo yanaweza kusababisha madhara kwa binadamu ,mifugo, wanyama,miundombinu na makazi .
Kutokana na utabiri huo wananchi mnatangaziwa kuchukua hatua za tahadhari kuzuia na kupunguza madhara pamoja na kukabiliana na maafa endapo yatatokea katika maeneo yenu
Mambo muhimu ya kuzingatia katika kujipanga kukabiliana na athari za mvua ni kama ifuatavyo:
Vilevile Taarifa na Takwimu za Madhara ya Maafa ikiwa pamoja na uharibifu wa mazao unapotokea ziwasilishwe haraka kwa Maafisa Watendaji wa Mitaa/Kata kwa ajili ya kuziwasilisha Ofisi ya Mkurugenzi kitengo cha maafaa.
Jackson Kahabi
k.n.y MKURUGENZI MANISPAA KIGOMA/UJIJI
cc: Mbao zote za matangazo
Manispaa ya Kigoma Ujiji
Sanduku la Posta: S.L.P 44
Simu: +255 28 2802535
Namba ya Simu: +255765660847
Barua pepe: municipal@kigomaujijimc.go.tz ictsecurity@kigomaujijimc.go.tz
Hakimiliki@2017 Manispaa ya Kigoma Ujiji. Haki Zote Zimehifadhiwa