Balozi wa China Nchini Tanzania Dr.Lu Y akiwa anapata maelezo mafupi toka kwa mtaalm wa TPA Kigoma akiwa na Lisa Wang Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya LingHang Group inayokusudia kuwekeza katika Usindikaji wa Samaki ikiwa ni zao linalopatikana Ziwa Tanganyika katika Manispaa Kigoma/Ujiji Wataalam aliombatana nao pamoja na Wawekezeji kutoka Nchini China kulia kwake ni Mh. Zitto Zuberi (Mb) wa Kigoma Mjini
Manispaa ya Kigoma Ujiji
Sanduku la Posta: S.L.P 44
Simu: +255 28 2802535
Namba ya Simu: +255765660847
Barua pepe: municipal@kigomaujijimc.go.tz ictsecurity@kigomaujijimc.go.tz
Hakimiliki@2017 Manispaa ya Kigoma Ujiji. Haki Zote Zimehifadhiwa