• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua za Watumishi |
    • Malalamiko |
Kigoma Ujiji Municipal Council
Kigoma Ujiji Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa Kigoma Ujiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Rasilimali Watu
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango,Takwimu na Usimamizi
      • Fedha na Biashara
      • Maji
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Uvuvi na Ufugaji
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazingira
      • Afya
    • Vitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Sekta ya Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha Ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati Za Kudumu Za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango miji na Mazingira
      • Ukimwi
      • Kamati Ya Maadili
      • Uchumi Afya na Elimu
    • Ratiba
      • Kamati Za Madiwani
      • Ratiba Kuonana Na Meya
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyo Kamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba
    • Picha za Kuona
      • Mh.Meya
    • Tukio
    • Habari

"BILIONI MBILI KUONGEZWA UJENZI HOSPITALI YA MANISPAA YA KIGOMA UJIJI" WAZIRI OR-TAMISEMI , Health

Posted on: August 12th, 2024

Na Mwandishi Wetu

Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Omary Mchengerwa amemuagiza Mkurugenzi wa afya OR- TAMISEMI kutoa kiasi cha  fedha za Kitanzian Bilioni mbili (Tsh 2, 000, 000, 000/=)  kwa ajili ya kuongeza  majengo kufikia kumi na sita (16) katika Hospitali ya Manispaa ya Kigoma Ujiji.

Kiongozi huyo ametoa maelekezo hayo Leo Agosti 12, 2024  baada ya kufanya ziara  ya kukagua ujenzi  unaoendelea ili kuhakikisha inakidhi vigezo na viwango vya Hospitali za Wilaya ikiwa ni pamoja na utoaji wa huduma mbalimbali za kibingwa.


Aidha amewataka Wakuu wa Mikoa, Wilaya na Wakurugenzi Nchini kuwasimamia Wahudumu wa afya ili kuhakikisha wanatoa Matibabu kwa Wananchi yaliyo bora ikiwa ni pamoja na kusikiliza na kutatua changamoto zao pamoja na Wanachi.  


Awali akitoa taarifa Mganga Mkuu wa Manispaa ya Kigoma Ujiji Dr. Hashim Mvogogo amesema awali Serikali Kuu  ilitoa fedha  kwa ajili ya Ujenzi wa Majengo matano (05)   kiasi cha fedha za Kitanzania Billion Moja na Million Mia tatu  (Tsh 1, 300, 000, 000/=) kwa ajili ya Ujenzi waJengo la Wagonjwa wa nje (OPD), Maabara, Jengo la Wazazi (Maternity Complex), Jengo la mionzi, na jengo la stoo ya dawa.


Aidha kiongozi huyo amefanya ziara ya kutembelea Ujenzi wa barabara ya Bangwe - Ujiji unaoendelea yenye urefu wa Km 7.01 kupitia mradi wa uboreshaji wa Miji Kimkakati (TACTICS) ambapo amesema mradi huo uko chini kwa utekelezaji ambapo uko asilimia 18% Badala ya kuwa asilimia Sitini (60%).


Kiongozi huyo ametoa miezi sita kuanzia sasa kuhakikisha Mkandarasi anakamilisha ujenzi wa barabara hiyo kwa kiwango cha Lami, Mitalo na Ufungaji wa taa.  


Zaidi bofya www.kigomaujijimc.go.tz

Matangazo

  • NYARAKA ZA WAKUU WA SHULE WALIMU WAKUU October 10, 2022
  • Ufatiliaji wa Kina Kusaka wasiokata Leseni za Biashara 2017 March 20, 2017
  • Fedha za Mradi wa P4R mwezi Machi 2017 April 13, 2017
  • Fedha za Mradi wa Barabara Machi 2017 April 13, 2017
  • Angalia Yote

Habari Mpya

  • NYUMBA YA WALIMU SHULE YA SEKONDARI MJIMWEMA IPO HATUA YA UMALIZIAJI. Building

    May 08, 2025
  • MAANDALIZI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU YAENDELEA UJIJI, DC AKAGUA MIRADI. National touch

    May 07, 2025
  • SERIKALI YAENDELEA KUTOA MSAADA WA KIBINADAMU WAATHIRIKA WA MVUA KIGOMA UJIJI. Flood

    May 05, 2025
  • NMB YAKABIDHI VIFAA TIBA KIGOMA UJIJI. Health

    May 03, 2025
  • Angalia Yote

Picha za Kuona

MWENGE WA UHURU 2023
Picha za Kuona Zaidi

Kurasa za Haraka

  • Ofisi ya Rais Utumishi
  • Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tume ya Ajira

Kurasa Husishi

  • Wizara ya Elimu
  • Wizara ya Afya
  • TCU
  • Mikopo Vyuo Vya Elimu Ya Juu
  • Ofisi ya RAS Kigoma
  • Jiji Mwanza

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    Manispaa ya Kigoma Ujiji

    Sanduku la Posta: S.L.P 44

    Simu: +255 28 2802535

    Namba ya Simu: +255765660847

    Barua pepe: municipal@kigomaujijimc.go.tz ictsecurity@kigomaujijimc.go.tz

Mawasiliano Mbalimbali

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera ya Usiri
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani
    • Huduma

Hakimiliki@2017 Manispaa ya Kigoma Ujiji. Haki Zote Zimehifadhiwa